Ushuru mpya hautafinya pato la wakulima, Waziri Kagwe asisitiza
WAZIRI wa Kilimo Mutahi Kagwe amehakikishia wakulima wa majanichai kuwa ushuru mpya wa mauzo ya bidhaa hiyo nje ya nchi hautapunguza mapato yao. Bw Kagwe alisema ushuru huo unanui...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Kagwe Atetea Ushuru Mpya.
Fresh curated links around Kagwe atetea ushuru mpya are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
WAZIRI wa Kilimo Mutahi Kagwe amehakikishia wakulima wa majanichai kuwa ushuru mpya wa mauzo ya bidhaa hiyo nje ya nchi hautapunguza mapato yao. Bw Kagwe alisema ushuru huo unanui...
Aliyekuwa Mkuu wa Gereza la Ukonga, Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Magereza, Josephat Mkama ameieleza Mahakama hakuna ushahidi uliyowasilishwa mahakamani kuonyesha alighushi barua...
WATU 31 waliokamatwa wakati wa maandamano ya Jumatatu dhidi ya mpango wa serikali wa kuanzisha kituo cha kutenga wagonjwa wa Ebola katika Kaunti ya Laikipia, jana waliachiliwa huru...
SERIKALI ya Kenya inaendelea na mipango ya kuanzisha kituo cha kutenga na kutibu Ebola kwa ushirikiano na serikali ya Amerika, huku ikipuuza amri ya korti katika mfano halisi wa uk...
Soma zaidi hapa...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amewataka watafiti na wadau wa sekta ya afya nchini kuweka mikakati madhubuti itakayoiwezesha Tanzania kujitosheleza kwa dawa, chanjo na vifaa ti...
Soma hapa...
Soma hapa...
Serikali imesema sasa ni wakati wa kuhamisha nguvu kutoka kwenye kupunguza maambukizi ya kipindupindu na kuelekeza mikakati katika kukitokomeza kabisa ugonjwa huo nchini.
SERIKALI ya Rais William Ruto inaendelea kuwekewa presha baada ya Mahakama Kuu kuamuru Wizara ya Afya kufichua maelezo kamili ya mpango unaohusisha kuanzishwa kwa kituo cha karanti...
Soma hapa...
Mjadala mzito unaendelea katika vyombo mbalimbali vya habari na mitandao ya kijamii kuhusiana na tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ya kuzuia kwa muda, mik...
Soma zaidi...
Soma hapa...
Hatua hiyo inafuatia ziara ya Waziri wa Afya wa Msumbiji Ussene Isse, leo Juni 25, 2026 aliyoifanya makao makuu ya MSD jijini Dar es Salaam akiwa na ujumbe wake kujionea utendaji k...
Amesema kwa kipindi cha miaka mitatu tangu ilipoanzishwa kampeni hiyo (2023-2026), wananchi zaidi ya milioni nne wamefikiwa na kampeni hiyo katika kusikiliza na kutua changamoto za...
MAHAKAMA ya Kajiado imeruhusu maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kumzuilia mwanaharakati Bob Njagi kwa siku saba huku wakiendelea na uchunguzi kuhusu madai ya kosa la uha...
Soma zaidi...
Mazungumzo hayo yalifungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa afya kati ya nchi hizo mbili, huku Tanzania ikiweka wazi dhamira yake ya kujenga mfumo imara zaidi wa afya unaojitegemea n...
Chadema ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake Taifa, John Heche, wameendelea na ziara yao mkoani Mbeya, huku ikitangaza mambo mawili ambayo ni Katiba Mpya na Free Lissu, ambapo kesh...
Soma zaidi...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.