Eti sijui kusoma? Wewe ndio ulikuwa unanililia ulipopokonywa Wizara ya Ulinzi, Jumwa ajibu Duale
ALIYEKUWA Waziri wa Utumishi wa Umma Aisha Jumwa wikendi alimjibu vikali Waziri wa Afya Aden Duale baada ya kutoa madai ya kutokuwa na uwezo wa kusoma na kuelewa stakabadhi za Bara...