Watatu wafa, wengine wengi kujeruhiwa baada ya jumba kuporomoka Kibera
JUMBA ambalo lilikuwa linabomolewa jana lilianguka mtaani Kibera na kusababisha vifo vya watu watatu huku wengine wengi wakisalia na majeruhiwa mbalimbali. Mkuu wa Kupambana na Ma...