Latest updates for Janga La Wahuni

Fresh curated links around Janga la wahuni are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Kenya yageuzwa ngome ya wahuni sasa wakitumiwa kutwaa ardhi, biashara na mali
  • MAONI: Visa vya uhuni na ghasia za kisiasa vinaharibia sifa ya Kenya kimataifa
  • Ajabu mapanga sasa yakigeuzwa silaha kali ya wahuni

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kenya yageuzwa ngome ya wahuni sasa wakitumiwa kutwaa ardhi, biashara na mali

KENYA inaendelea kugeuka kuwa paradiso ya wahuni wanaotumiwa kutwaa ardhi, nyumba, biashara na mali nyingine huku amri za mahakama zikipuuzwa na mamlaka zikionekana kushindwa kuwal...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

MAONI: Visa vya uhuni na ghasia za kisiasa vinaharibia sifa ya Kenya kimataifa

YANAYOTUKIA Kenya wakati huu yanawatia wasiwasi wananchi na wenye nchi kwa sababu kadhaa. Kwanza, wimbi kubwa la wahuni limechipuka mwaka mmoja kabla Kenya kuingia katika uchagu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Ajabu mapanga sasa yakigeuzwa silaha kali ya wahuni

MAPANGA yanabadilishwa kutoka zana ya kawaida ya shambani kuwa silaha ya kutisha na kuwashambulia watu, huku ripoti ya kijasusi ikifichua kuwa angalau mapanga 500 yalisambazwa kwa...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Waliofungwa jela maisha kwa kuchoma kanisa waachiwa huru

Soma zaidi hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Madai ya maombi kanisani yashindwa kumuokoa, ahukumiwa kunyongwa

Soma zaidi hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wahuni wa wakubwa? Hakuna aliyekamatwa kwa ghasia Ol Kalou licha ya ufichuzi

ZAIDI ya siku nne baada ya ghasia zilizoshuhidiwa katika uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ol Kalou, hakuna mwanasiasa, mfadhili au mmiliki wa magari yanayodaiwa kutumiwa na watu wenye s...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

'Tutawaka tutoe mwanga japo tunateketea'

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Wengine waliofungwa maisha kwa kuchoma kanisa waachiwa huru

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /6 days ago

Moto wazuka Mlima Kilimanjaro, vikosi vyahaha kuuzima

Moto mkubwa ambao chanzo chake hakijafahamika, umezuka katika eneo la Second Cave katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (Kinapa), njia ya Rongai, ambapo eneo hilo ni urefu wa takr...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

TAHARIRI: Serikali inalala kazini wakati ambapo uhuni unakita mizizi nchini

SERIKALI haiwezi kuruhusiwa kukaa kimya huku visa vya uhuni wa kisiasa vikiongezeka. Kwa muda mrefu serikali imekuwa ikitoa vitisho vikali visivyotekelezwa. Kila mara viongozi wa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Mapanga 500 na silaha zingine zilisambaziwa wahuni Homa Bay, polisi wafichua

TAKRIBAN vijana 500 walilipwa kuziba barabara kuwazuia wafuasi wa Linda Mwananchi kuingia Homa Bay wakati wa mkutano wao Jumapili iliyopita, huku polisi wakifichua kuwa mapanga 500...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Kinyanyiko: Kona kali inayogharimu maisha

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Sifuna: Tulinasa simu ya polisi mmoja aliyeshirikiana na wahuni, tutaitumia kama ushahidi

KINARA wa vuguvugu la kisiasa la Linda Mwananchi Edwin Sifuna amesema wanayo katika hifadhi yao chombo cha mawasiliano anachosema kilipatikana kwa mwanamume mmoja aliyenaswa na waf...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Simu ya marehemu ilivyowatia hatiani raia wawili wa Burundi, wahukumiwa kunyongwa

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Matiang’i awaonya viongozi dhidi ya kufadhili wahuni

NAIBU Kiongozi wa Chama cha Jubilee, Dkt Fred Matiang’i, ameonya kuwa Kenya iko katika hatari kutokana na uhuni wa kisiasa. Aliwataka viongozi kuacha kufadhili makundi ya wahuni...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wahuni ghasia za Ol Kalou hawajashikwa timu ya DCI ikisema ‘inasubiri maagizo ya wakubwa’

WAHUNI waliozua vurugu wakati wa uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ol Kalou bado hawajakamatwa licha ya Rais William Ruto kuagiza  maafisa wa usalama kuwasaka wahusika, hali inayozua mas...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Hata waliotorokea kanisani walipigwa Homa Bay

KANISA la SDA Lake Victoria Field liligeuka kuwa eneo la vurugu Jumapili baada ya watu waliokuwa wakitoroka makabiliano ya kisiasa Homa Bay kukimbilia humo kutafuta hifadhi. Kasis...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Bakwata yavunja ukimya sakata la Sheikh Walid

Soma zaidi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Ruto alivyokutana na janga linaloendelea la uhuni katika mkutano wake Emurua Dikirr

GHASIA za kisiasa zilitia doa ziara ya Rais William Ruto katika Kaunti ya Narok Jumatano, baada ya watu wasiopungua sita kujeruhiwa kwa mishale huku wengine kadhaa wakipata majerah...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Dosari zamnusuru kaka na kitanzi kwa kumuua dada yake

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Kibano ufungaji holela ving’ora, vimulimuli

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Wawili mbaroni wakituhumiwa kumuua dereva bodaboda Kijangwa

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Bundi aweka kambi Moshi mjini, Mchengerwa ageuka mbogo

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Jinsi uchaguzi wa Ol Kalou ulitekwa na hongo, uhuni, vitisho na ghasia

UCHAGUZI mdogo wa Ol Kalou ulioandaliwa jana ulikumbwa na ghasia, hongo, vitisho na majeraha huku viongozi mbalimbali wakilaani matukio hayo. Tume Huru ya Uchaguzi Nchini (IEBC) i...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Janga La Wahuni

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source