Hisia kali Maraga akikamatwa kwa kuandamana kupinga utwaliwaji ardhi ya mbuga
JAJI Mkuu Mstaafu David Maraga Jumatatu alikuwa kati ya watu walionyakwa wakati wa maandamano ya amani ya kupinga mpango wa serikali kuanzisha kituo cha kuwatunza wanyama katika mb...