Latest updates for Jaji Julius Nangea
Fresh curated links around Jaji Julius Nangea are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
- Jaji Mkuu, Jaji Kiongozi waburutwa kortini
- Jaji Mkuu awapa maagizo wasajili wa Mahakama
- Chadema yaweka msimamo Tume ya Jaji Lila
Post angles to try
Fresh articles and ideas
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Jaji Mkuu awapa maagizo wasajili wa Mahakama
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, amewataka manaibu wasajili wa Mahakama Kuu nchini kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu na kuzingatia masilahi ya haki, akisisitiza kuwa tarati...
Tume ya Jaji Lila yataja hadidu za rejea, yaanza kazi
Soma zaidi hapa...
Makamu wa Rais Ndejembi aahidi kufanya kazi kwa uadilifu, uzalendo
Soma hapa...
Lissu ataja kanuni 12 za kuzingatiwa kuamua kesi yake
Soma hapa...
Ole Gabriel: Ongezeni muda mafunzo ya JKT
Mtendaji Mkuu mstaafu wa Mahakama, Profesa Elisante Ole Gabriel ameshauri Serikali kuongeza muda wa mafunzo kwa vijana wanaojiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa She...
DCI Kingai, CDF, IGP walivyomtosa Lissu mahakamani
Soma hapa...
Ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua jirani kwa jembe
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Singida, imemhukumu Jacob Mashimba kunyongwa hadi kufa baada ya kumtia hatiani kwa kumuua jirani yake, Nyendwa Siga, kwa kumpiga jembe kichwani kufua...
Heche alivyotumia hotuba ya Jaji Chande kumtetea Tundu Lissu
Soma zaidi...
Mahakama yazima mchakato wa kumfurusha Jaji Mkuu Koome
MAHAKAMA Kuu imeizuia Tume ya Huduma ya Mahakama (JSC) kuendelea kushughulikia maombi ya kuwaondoa majaji wa Mahakama ya Juu hadi kanuni za kusimamia mchakato huo ziwekwe rasmi....
Hukumu kesi ya mawakili wa Lissu Ijumaa
Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma, imepanga kutoa hukumu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mawakili watatu wanaojitambulisha kuwa washauri wa kisheria wa Mwenyekiti wa Chama cha...
Ulega akoleza mapendekezo Tume ya Haki Jinai kupunguza msongamano magerezani
Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega ameyataja mapendekezo katika Tume ya Haki Jinai iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande, kwamba ndiyo tiba ya kupunguza msongaman...
Jaji afuta uamuzi wa kuondolea Oparanya mashtaka ya ufisadi
MAHAKAMA Kuu imebatilisha uamuzi wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP) wa kuacha kumshtaki Waziri na aliyekuwa Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya kuhusu madai ya ufis...
Heche akataa barua za tume ya Jaji Chande kuwa vielelezo
Soma zaidi...
Tundu Lissu closes defence after top security chiefs decline to testify
The trial is heard by a panel of three judges led by Justice Dunstan Ndunguru, assisted by Judges James Karayemaha and Ferdinand Kiwonde.
Jalada kesi ya Mkaguzi wa Polisi larejeshwa Polisi
Jalada la kesi ya kumiliki silaha inayomkabili Mkaguzi wa Polisi, Fredrick Malekela (46), limerudishwa Polisi kwa ajili ya kufanyiwa marekebisho, hatua iliyosababisha kuahirishwa k...
Udom lecturer Kaijage discharged after DPP drops terrorism, sabotage case
Reading the conditions presented by the RCO, Magistrate Mpelembwa required Mr Kaijage to produce two sureties who are residents of Dodoma Region.
Mwalimu, walinzi wahukumiwa miaka 10 jela kwa kifo cha mwanafunzi
Soma zaidi...
Mahakama yaisimamisha kamati ya mawakili kusikiliza shauri linalomkabili Mwabukusi
Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma, imeiamuru Kamati ya Kitaifa ya Mawakili kusimamisha mwenendo wa shauri la maadili linalomkabili Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Bon...
Ugandan, Namibian judges vow to deliver on Tanzania election violence probe
Foreign judges appointed to Tanzania’s Commission of Inquiry into violence and alleged breaches of the law during and after the October 2025 General Election have pledged to use th...
Hukumu kesi ya mawakili kuzuiwa kumuona Lissu kutolewa kesho
Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma, kesho inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mawakili watatu wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...
Golugwa, mawakili wa Jamhuri walivyobanana kesi ya Lissu
Soma zaidi...
Turn fresh research into a full content calendar
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.