Msako wa afisa anayehusishwa na mauaji ya wakili Mbobu na Dkt Mutiso wafika Tanzania
MAAFISA wa upelelezi wamepanua msako wa Inspekta Kenneth Kipkemoi Sang hadi Tanzania baada ya juhudi za kumkamata nchini Kenya kugonga mwamba. Inspekta Sang, ambaye ni mkuu wa K...