Wanne wanaohusishwa na msururu wa wizi wa kimabavu kaunti tatu wakamatwa
MAAFISA wa upelelezi kutoka Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) wameelekeza uchunguzi wao kwenye simu za mkononi na taarifa za benki zilizopatikana kutoka kwa washukiwa wanne walioka...