Latest updates for Idara Ya Huduma Ya Polisi

Fresh curated links around Idara ya Huduma ya Polisi are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Wananchi Maswa watembea zaidi ya kilomita 50 kufuata kituo cha polisi
  • Kampeni ya ‘Ongea na Kamanda’ kutatua kero kwa wananchi
  • Polisi Iringa wawafuata wananchi kusikiliza kero

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

mwananchi.co.tz /11 hours ago

Wananchi Maswa watembea zaidi ya kilomita 50 kufuata kituo cha polisi

Wananchi wa Kata ya Masela, wilayani Maswa, mkoani Simiyu, wanalazimika kusafiri zaidi ya kilomita 50 kufuata huduma za polisi, hali inayowaongezea gharama za usafiri na kuwapa cha...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Kampeni ya ‘Ongea na Kamanda’ kutatua kero kwa wananchi

Wananchi wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wameitaka Jeshi la Polisi kutumia kampeni ya ‘Ongea na Kamand’a kusikiliza na kutatua kero za kiusalama, kushughulikia malalamiko yao na...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Polisi Iringa wawafuata wananchi kusikiliza kero

Badala ya kusubiri wananchi wafike vituoni kuwasilisha changamoto zinazowakabili, Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limeanza kuwafuata katika maeneo yao kupitia kampeni ya ‘Ongea na K...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Polisi Jamii yapunguza mauaji ya imani potofu Kwimba

Elimu ya ulinzi shirikishi inayotolewa na Jeshi la Polisi imetajwa kuwa miongoni mwa sababu zilizochangia kupungua kwa mauaji yanayohusishwa na imani za kishirikina na mila potofu...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Watuhumiwa 441 wanaswa, polisi watangaza mkakati mpya wa helmeti

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Rais Samia awalilia Polisi na mahabusu waliofariki ajalini, atoa maagizo

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Polisi yamshikilia dereva anayedaiwa kumpiga trafiki Dar, sababu zatajwa

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kinondoni ameshambuliwa kwa ngumi na mateke na dereva mmoja wakati akimzuia kutumia barabara ya huduma (Service Road) katika eneo la Lugalo,...

Read source
mwananchi.co.tz /1 day ago

Jeshi la Polisi lawasaka watuhumiwa wengine wizi wa betri za CT Scan

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linaendelea kuwatafuta watu wengine wanaodaiwa kuhusika na wizi wa betri 40 za mashine ya CT Scan katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo, likisema hal...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Ajali ya Coaster, Fuso yaua mmoja, yajeruhi watano Doma

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linatoa wito kwa madereva kufuata sheria na alama za usalama barabani ili kuzuia ajali zinazoweza kuzuilika.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

242 wakamatwa Kilimanjaro kwa uhalifu

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limewakamata watu 242 kwa tuhuma za kujihusisha na makosa mbalimbali, yakiwemo utovu wa maadili, kukutwa na nyara za Serikali na usafirishaji wa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Dereva matatani akituhumiwa kutumia simu huku anaendesha

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia dereva wa basi kwa tuhuma za kuendesha gari huku akitumia simu ya mkononi, pamoja na kuwajibu lugha chafu abiria waliomuonya kuacha kit...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Saba mbaroni kwa unyang’anyi, mauaji Arusha

Polisi Mkoa wa Arusha limewakamata watu saba wakituhumiwa kujihusisha na mtandao wa uhalifu unaohusisha mauaji, unyang’anyi wa kutumia silaha na wizi wa pikipiki.

Read source
mwananchi.co.tz /1 day ago

Tisa wadakwa tuhuma mauaji ya mwanafunzi Pemba

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba limewakamata watuhumiwa zaidi ya 20 kwa tuhuma mbalimbali kufuatia msako na doria zilizofanyika kisiwani humo.

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Polisi wanane wafariki dunia ajalini ndani ya siku 18

Soma zaidi...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Vitambulisho vya Nida milioni 1.5 vyatelekezwa, Serikali yatoa kauli

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Kamati ya Bunge yaagiza ujenzi kituo cha polisi Mkulazi

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeagiza menejimenti ya kiwanda cha sukari Mkulazi na Bodi ya Sukari Tanzania kuchukua hatua za haraka za kuhakikis...

Read source
mwananchi.co.tz /1 day ago

Saa 10 za kukamatwa, kuachiwa kigogo wa Chadema

Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zakaria Obadi amekamatwa usiku akiwa nyumbani kwake, akashikiliwa kwa saa kadhaa na baadaye kuachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Shi...

Read source
mwananchi.co.tz /3 days ago

Jalada kesi ya Mkaguzi wa Polisi larejeshwa Polisi

Jalada la kesi ya kumiliki silaha inayomkabili Mkaguzi wa Polisi, Fredrick Malekela (46), limerudishwa Polisi kwa ajili ya kufanyiwa marekebisho, hatua iliyosababisha kuahirishwa k...

Read source
mwananchi.co.tz /4 weeks ago

Vifaa vya Sh28.5 milioni vyatolewa kudumisha usalama kwa wananchi

Wananchi wa Jimbo la Magomeni wamepokea vifaa vya ulinzi vyenye thamani ya Sh28.5 milioni kwa lengo la kuimarisha amani na usalama katika jimbo hilo.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Miili ya askari waliofariki ajalini yaagwa

Soma hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /2 days ago

Watumishi washikiliwa tuhuma za wizi wa betri 40 za hospitali Simiyu

Polisi Mkoa wa Simiyu wanawashikilia watu watatu wakiwamo watumishi wanaofanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu, wanaotuhumiwa kuhusika na wizi wa betri 40 na kifaa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Jeshi la Uganda latoa Sh52 milioni kuimarisha usalama kituo cha SOS Zanzibar

Soma zaidi hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /4 days ago

Polisi yamshikilia mwanamke anayedaiwa kusingizia kutekwa Arusha

Jeshi la Polisi mkoani Arusha linawashikilia watu watatu akiwemo Vivian Salekwa, mkazi wa Majengo jijini humo, kwa tuhuma za kupanga na kutoa taarifa za uongo kuhusu kutekwa kwake.

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

DC Arumeru akemea mauaji ya Rebeca, mmoja akamatwa

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru (DC), Neema Lugangira, amekemea mauaji ya Rebeca Naffi (22), akilitaka Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini wote waliohusika na kuhakikis...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Idara Ya Huduma Ya Polisi

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source