Changawa, Njogu kufufua uadui fainali ya Nellions Open, Ouko na Yego ndani ya fainali ya kinadada
ISMAEL Changawa na Albert Njogu waliopewa nafasi ya kwanza na ya pili mtawalia, watakutana katika fainali ya wanaume ya mashindano ya tenisi ya Nellions Open hapo Jumamosi, Oktoba...