Ruto arejea nyumbani kujitetea, anuia kurejesha ufuasi unaodaiwa kudidimia
RAIS William Ruto anatarajiwa kuzuru eneo la Kusini mwa Bonde la Ufa wiki ijayo huku kukiwa na malalamishi yanayoongezeka kutoka kwa wakazi wanaodai serikali yake imepuuza eneo hil...