Kampeni zachacha Ol Kalou zikibaki siku 10 kura zipigwe
HUKU zikisalia siku kumi pekee kabla ya uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ol Kalou, ushindani huo umegeuka kuwa kipimo cha nguvu za kisiasa katika eneo la Mlima Kenya kuelekea Uchaguzi M...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Hofu Ya Upinzani Kugawanyika Kura Ya Ol Kalou.
Fresh curated links around Hofu ya Upinzani kugawanyika kura ya Ol Kalou are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
HUKU zikisalia siku kumi pekee kabla ya uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ol Kalou, ushindani huo umegeuka kuwa kipimo cha nguvu za kisiasa katika eneo la Mlima Kenya kuelekea Uchaguzi M...
UCHAGUZI mdogo wa ubunge wa Ol Kalou unaotarajiwa kufanyika Julai 16 umegeuka kutoka kuwa uchaguzi wa kawaida wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na marehemu mbunge David Kiaraho hadi...
The announcement comes exactly seven days after IEBC cleared nine candidates to vie for the Ol-Kalou by-election, with the majority of those cleared coming from the opposition.
MATOKEO ya uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ol Kalou leo yatatoa mwelekeo wa kisiasa katika eneo lenye idadi kubwa ya wapigakura la Mlima Kenya kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Ni kat...
MKUTANO wa ODM ambao uliandaliwa Kisumu Jumapili umeanika nyufa ndani ya mrengo wa chama hicho unaoongozwa na Seneta wa Siaya Dkt Oburu Oginga na wandani wake. Baadhi ya viongozi...
MUUNGANO wa upinzani umeangukiwa na mizimwi ya dhiki chungu nzima za kisiasa. Muungano huo umeendelea kubanwa katika kuandaa mikutano huru kwa kushambuliwa na wahuni mara kwa mara...
UCHAGUZI mdogo wa eneo bunge la Ol Kalou, Kaunti ya Laikipia unaotarajiwa kuandaliwa Julai 16, 2026 umeibuka kuwa mojawapo ya mashindano yanayofuatiliwa kwa karibu zaidi katika ene...
VIONGOZI wa upinzani Ijumaa walianza ziara ya siku tatu katika eneo la Magharibi mwa Kenya wakimshutumu Rais William Ruto kwa kile walichodai ni kusaliti jamii ya Waluhya baada ya...
CHAMA cha UDA kinachoongozwa na Rais William Ruto kinafanya juu chini kuhakikisha kinashinda uchaguzi mdogo wa eneobunge la Ol Kalou ikiwemo kutumia miradi kuwavutia wapigakura....
Ol Kalou has become a key interest area owing to the July 16 byelections, an event that has witnessed an interesting turn of events that could shape voters' attitude towards the 2...
HUKU upinzani ukiendelea kuonyesha wana umoja hadharani, mvutano mkali unaendelea kushuhudiwa kati ya mrengo wa Linda Mwananchi na Umoja wa Upinzani, kila upande ukipambana kudhibi...
SIASA kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 zimechukua mkondo mpya huku mrengo wa upinzani ukiwa na nafasi nzuri ya kumbwaga Rais William Ruto ikiwa itaungana na kumteua mgombea mmo...
KIONGOZI wa chama cha Democracy for Citizens Party (DCP), Bw Rigathi Gachagua, ameshambulia vikali Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), akiishutumu kwa kushindwa kutekeleza waji...
HUKU uchaguzi mkuu wa 2027 ukizidi kukaribia, Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro anakabiliwa na uamuzi mgumu wa kisiasa ambao unaweza kuimarisha hadhi yake kama mwanasiasa wa kitaifa au...
Former Deputy President Rigathi Gachagua projects that the opposition and President William Ruto will split the Rift Valley region’s votes down the middle in the 2027 General Elect...
According to IEBC, it had received reports of voter bribery, gun violence and night campaigns, raising concerns over whether the election can be conducted in a free, fair and peace...
MUUNGANO wa upinzani jana ulizindua kile ulichokiita Bajeti ya Wananchi na kuwataka wabunge kukataa Bajeti ya Serikali ya Sh4.82 trilioni pamoja na Mswada wa Fedha wa 2026, ukisema...
ALIYEKUWA Naibu wa Rais Rigathi Gachagua kuanzia leo atajiondoa kwa muda katika shughuli za kisiasa na kujifungia katika makazi yake ya Wamunyoro, Kaunti ya Nyeri, kwa siku 45....
VIONGOZI wa upinzani wanapaswa kusuluhisha mizozo yao na kuendesha mijadala kwa faragha, ili kusitiri mapungufu yanayoweza kudhoofisha taswira yao mbele ya umma. Kwa sasa, misima...
HUKU muungano wa upinzani nchini Kenya ukiekea hatua muhimu ya kuchagua mgombea mmoja wa urais atakayemkabili Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa 2027, mmoja wa vigogo wake a...
MBUNGE wa Kiharu Ndindi Nyoro na baadhi ya wanasiasa wa ODM wamejipata katika hali ngumu kisiasa baada ya kushutumiwa kama viongozi vuguvugu ambao hawaegemei mrengo wa serikali ama...
VITA vya kisiasa kati ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua na Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen vimechukua mkondo mpya baada ya wawili hao kurushiana lawama kuhusu...
VIONGOZI wa upinzani Kaunti ya Meru wameingia katika mvutano wa kisiasa na vita vya ubabe, hali inayotishia kuvuruga mikutano ya kisiasa inayopangwa kufanyika eneo hilo. Kiongozi...
Miezi michache baada ya kujitokeza kama moja ya sauti kali zaidi za upinzani dhidi ya Rais William Ruto, vuguvugu la Linda Mwananchi sasa linakabiliwa na changamoto ambayo inaweza...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.