Hichilema aapishwa kwa muhula wa pili mpinzani wake mkuu akifungiwa jela
LUSAKA, Zambia: RAIS wa Zambia Hakainde Hichilema Jumanne aliapishwa rasmi kwa muhula wake wa pili huku mpinzani wake mkuu akiwa gerezani akikabiliwa na mashtaka ya uhaini. Kuapi...