Dhahabu na tumaini jipya la kulinda uchumi Tanzania
Soma zaidi hapa...
Search fresh public links, source activity, and post angles for Hazina Ya Kitaifa.
Fresh curated links around Hazina ya Kitaifa are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Soma zaidi hapa...
WIZARA ya Ulinzi na Huduma ya Kitaifa kuhusu Ujasusi (NIS) zitapokea jumla ya Sh310 bilioni kwenye bajeti ya 2026, kiasi ambacho ni cha pili kikubwa zaidi baada ya Tume ya Huduma k...
Serikali imesisitiza dhamira yake ya kuimarisha sekta ya fedha nchini ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha kwa wananchi na wafanyabiashara, hatua inayolenga kuchochea u...
Jamii imekumbushwa umuhimu wa kuweka mikakati madhubuti ya kulinda utajiri sambamba na juhudi za kuujenga, ili kuhakikisha usalama wa kifedha wa muda mrefu.
Mashauri matano ya uhujumu uchumi yamefunguliwa dhidi yao.
Mradi wa Pamoja unafadhiliwa na WB kwa kipindi cha miaka mitano (2024/29) na utagharimu Sh33 bilioni.
Serikali imesema sekta ya fedha nchini inaendelea kuonesha ukuaji mkubwa na uthabiti, huku ikiitaka benki na taasisi za kifedha kuongeza ubunifu, kupunguza gharama za huduma na kuw...
Amesema utaratibu wa hazina kutoa fedha kuendesha taasisi hizo umepitwa.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imeweka kipaumbele katika kuimarisha na kuhifadhi maeneo ya kihistoria kwa kuzingatia umuhimu wake katika uchumi na uhifadhi wa utamaduni...
Soma hapa...
Jumla ya Sh775 bilioni zimeombwa na Wizara ya Katiba katika mwaka wa fedha 2026/27, huku vipaumbele 14 vitakavyotekelezwa kwa wakati huo, ikiwemo kufungua kesi tano za uvunjwaji wa...
Upande wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili washtakiwa tisa, wanaokabiliwa na mashtaka ya kuongoza genge la uhalifu na kujipatia zaidi ya Sh5.7 bilioni, umeieleza...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetaja vipaumbele vinne katika bajeti ya 2026/27, wakati ilipoomba bajeti ya Sh359.32 bilioni.
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amehitimisha bajeti yake kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2026/27, huku suala la bei ya mafuta likiwa si miongoni mwa mambo yaliyopata jawabu.
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, imeomba kuidhinishiwa jumla ya Sh135.676 bilioni kwa mwaka wa fedha 2026/27, huku ikiainisha mikakati ya kudhibiti mfumko wa bei na kui...
Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale imekuja na vipaumbele 11 ikilenga kuimarisha vivutio vya utalii, kuvihifadhi na kuyaendeleza maeneo ya kihistoria Unguja na Pemba.
Wakala wa Ulinzi wa JKU na Mamlaka za Serikali za Mitaa Sh405.196 bilioni kwa matumizi ya kazi za maendeleo.
Wakati Bunge likitarajia kuhitimisha mjadala wa hotuba ya bajeti ya Wizara Maliasili na Utalii leo Jumatatu, Mei 17, 2026, wizara tatu zitawasilisha mapendekezo ya kuomba bajeti za...
Soma hapa...
Wizara ya Maji, Nishati na Madini imepanga kutekeleza bajeti yake ya Sh475.39 bilioni kwa kuzingatia vipaumbele vinane vikiwamo kuimarisha mtandao wa maji, uzalishaji wa umeme na k...
Amesisitiza kwamba kiasi kikubwa cha fedha kilichotumika kwa matumizi mengine ya ofisi kilizuia balozi na ofisi za uwakilishi kutekeleza ipasavyo shughuli za kimkakati za diplomasi...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.