Latest updates for Hazina Kuu Ya Kifedha

Fresh curated links around Hazina Kuu ya Kifedha are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Benki ya Dunia yasisitiza matumizi sahihi fedha mradi wa Pamoja
  • Serikali yasisitiza kuimarisha sekta ya fedha na kukuza uchumi
  • Uthabiti wa sekta ya fedha waikuna Serikali, yaipa jukumu CRDB

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Benki ya Dunia yasisitiza matumizi sahihi fedha mradi wa Pamoja

Mradi wa Pamoja unafadhiliwa na WB kwa kipindi cha miaka mitano (2024/29) na utagharimu Sh33 bilioni.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Serikali yasisitiza kuimarisha sekta ya fedha na kukuza uchumi

Serikali imesisitiza dhamira yake ya kuimarisha sekta ya fedha nchini ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha kwa wananchi na wafanyabiashara, hatua inayolenga kuchochea u...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Uthabiti wa sekta ya fedha waikuna Serikali, yaipa jukumu CRDB

Serikali imesema sekta ya fedha nchini inaendelea kuonesha ukuaji mkubwa na uthabiti, huku ikiitaka benki na taasisi za kifedha kuongeza ubunifu, kupunguza gharama za huduma na kuw...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

CAG abaini fedha kiduchu kwenye balozi kutekeleza diplomasia ya uchumi

Amesisitiza kwamba kiasi kikubwa cha fedha kilichotumika kwa matumizi mengine ya ofisi kilizuia balozi na ofisi za uwakilishi kutekeleza ipasavyo shughuli za kimkakati za diplomasi...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Hemed ataja hatua za kudhibiti mfumko wa bei akiwasilisha makadirio ya bajeti

Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, imeomba kuidhinishiwa jumla ya Sh135.676 bilioni kwa mwaka wa fedha 2026/27, huku ikiainisha mikakati ya kudhibiti mfumko wa bei na kui...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Waziri wa Fedha asisitiza ushirikiano idara za forodha Afrika

Waziri wa Fedha Tanzania, Balozi Khamis Mussa Omar amesisitiza ushirikiano wa idara za forodha za Afrika ili kufanikisha malengo ya kukusanya mapato kutokana na biashara za kimatai...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Waziri Mkuu ashtukia kuuzwa dhamana za wakopaji

Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba amesema mfumo wa benki wa kuuza dhamana za wakopaji bila kuangalia kiasi cha deni lililobaki, kinaumiza watu na akataka utaratibu utazam...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Dhahabu na tumaini jipya la kulinda uchumi Tanzania

Soma zaidi hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Dk Mwinyi: Mjadala kuongeza muda wa uongozi hauna tija

Amesema utaratibu wa hazina kutoa fedha kuendesha taasisi hizo umepitwa.

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Benki ya Standard Chartered kuuza jengo lake Nairobi

Benki ya Standard Chartered imeanza mchakato wa kuuza makao makuu yake ya Afrika Mashariki yaliyopo Nairobi nchini Kenya, hatua inayotajwa kuwa sehemu ya mkakati wa benki hiyo wa k...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Benki ya Dunia yaipongeza Tanzania usimamizi mzuri wa miradi

Benki ya Dunia (WB) imeipongeza Tanzania kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo inayofadhiliwa na taasisi hiyo, ikiitaja kuwa miongoni mwa mataifa yanayoitekeleza kwa ufanisi m...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Wawakilishi wachachamaa fedha kiduchu ofisi ya Makamu wa Kwanza

Fedha kiduchu zinazotengwa na kutolewa kwa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais na Taasisi zake zimeibua mjadala kwa wawakilishi wakiitaka Serikali kuangalia upya mipango yake kwani t...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

TADB yatoa gawio la Sh8.38 bilioni serikalini

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetoa gawio la Sh8.38 bilioni kwa Serikali, huku faida, mizania na kiwango cha mikopo vikiongezeka.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Sekta binafsi walilia riba ya tarakimu moja

Kaimu Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Ngwisa Mpembe ameiomba Serikali kuwapunguzia viwango vya riba ili kuiinua sekta hiyo na kukuza uchumi wa Taifa.

Read source
mwananchi.co.tz /4 days ago

Mambo ya Nje waanika vipaumbele wakiomba Sh359 bilioni

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetaja vipaumbele vinne katika bajeti ya 2026/27, wakati ilipoomba bajeti ya Sh359.32 bilioni.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Uwekezaji bila bima ulivyo hatari kwa utajiri wako

Jamii imekumbushwa umuhimu wa kuweka mikakati madhubuti ya kulinda utajiri sambamba na juhudi za kuujenga, ili kuhakikisha usalama wa kifedha wa muda mrefu.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mikopo ya Sh13.7 trilioni iliyochochea uchumi Afrika Mashariki na Kati

Hatua hiyo imeifanya Benki ya CRDB kuwa mdau muhimu katika kusaidia ukuaji wa sekta za biashara, kilimo, nishati, usafirishaji na maendeleo ya wajasiriamali Tanzania, Burundi, Jamh...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Benki ya Coop ilivyojipanga kuteka soko la huduma za kifedha Tanzania

Benki ya Ushirika (Coop Bank) imejipanga kwa kasi kujiweka katika nafasi ya juu kwenye sekta ya huduma za kifedha nchini, ikilenga kuchochea ujumuishi wa kifedha na kukuza uchumi j...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Fikra sahihi ya kukupa mafanikio ya kifedha

Katika maisha ya kila siku, watu wengi hutamani kuboresha hali zao za kifedha na kuishi maisha yenye utulivu. Wengi hujiuliza ni nini hasa kinachowafanya baadhi ya watu kufanikiwa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Uhaba wa fedha za maandalizi miradi ya ubia tishio

Wakati Tanzania ikiazimia kukuza uchumi wake kutoka Dola 90 bilioni za Marekani (Sh234,000 trilioni) za sasa hadi kufikia Dola 1 trilioni miaka mitano ijayo, wataalamu wa uchumi wa...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Utitiri masharti ya mikopo kwa vijana watikisa Bunge

Fedha zinazozungumziwa na wabunge hao ni zile Sh200 bilioni zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya uwezeshaji wa vijana na kugawanywa katika wizara za madini, kilimo, mifugo, vijana...

Read source
mwananchi.co.tz /4 weeks ago

Watumishi wafikishwa mahakamani ubadhirifu fedha za mirathi Sh261 milioni

Mashauri matano ya uhujumu uchumi yamefunguliwa dhidi yao.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Wanaodaiwa kuiibia benki Sh5.7 bilioni majadiliano kumaliza kesi

Upande wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili washtakiwa tisa, wanaokabiliwa na mashtaka ya kuongoza genge la uhalifu na kujipatia zaidi ya Sh5.7 bilioni, umeieleza...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mwigulu ahitimisha bajeti ofisi yake, kuhusu mafuta kimya kinene

Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amehitimisha bajeti yake kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2026/27, huku suala la bei ya mafuta likiwa si miongoni mwa mambo yaliyopata jawabu.

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Hazina Kuu Ya Kifedha

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source