Latest updates for Hakimu Mkuu Anthony Mwicigi
Fresh curated links around Hakimu Mkuu Anthony Mwicigi are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
- Jaji Mkuu, Jaji Kiongozi waburutwa kortini
- Jaji Mkuu awapa maagizo wasajili wa Mahakama
- Tume ya Jaji Lila yataja hadidu za rejea, yaanza kazi
Post angles to try
Fresh articles and ideas
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Jaji Mkuu awapa maagizo wasajili wa Mahakama
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, amewataka manaibu wasajili wa Mahakama Kuu nchini kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu na kuzingatia masilahi ya haki, akisisitiza kuwa tarati...
Tume ya Jaji Lila yataja hadidu za rejea, yaanza kazi
Soma zaidi hapa...
Mahakama yazima mchakato wa kumfurusha Jaji Mkuu Koome
MAHAKAMA Kuu imeizuia Tume ya Huduma ya Mahakama (JSC) kuendelea kushughulikia maombi ya kuwaondoa majaji wa Mahakama ya Juu hadi kanuni za kusimamia mchakato huo ziwekwe rasmi....
Lissu ataja kanuni 12 za kuzingatiwa kuamua kesi yake
Soma hapa...
Hukumu kesi ya mawakili wa Lissu Ijumaa
Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma, imepanga kutoa hukumu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mawakili watatu wanaojitambulisha kuwa washauri wa kisheria wa Mwenyekiti wa Chama cha...
Ulega akoleza mapendekezo Tume ya Haki Jinai kupunguza msongamano magerezani
Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega ameyataja mapendekezo katika Tume ya Haki Jinai iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande, kwamba ndiyo tiba ya kupunguza msongaman...
Mahakama yakataa kuachilia wanafunzi 8 wa Utumishi Girls
MAHAKAMA Kuu imekataa ombi la dhamana la wanafunzi wanane wa Utumishi Girls Academy wanaokabiliwa na mashtaka ya mauaji ya wenzao 16 katika mkasa wa moto uliotokea shuleni Mei 28,...
Mahakama yaisimamisha kamati ya mawakili kusikiliza shauri linalomkabili Mwabukusi
Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma, imeiamuru Kamati ya Kitaifa ya Mawakili kusimamisha mwenendo wa shauri la maadili linalomkabili Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Bon...
Heche alivyotumia hotuba ya Jaji Chande kumtetea Tundu Lissu
Soma zaidi...
DCI Kingai, CDF, IGP walivyomtosa Lissu mahakamani
Soma hapa...
Hukumu kesi ya mawakili kuzuiwa kumuona Lissu kutolewa kesho
Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma, kesho inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mawakili watatu wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...
Zitto afunguka hukumu rufaa ya Profesa Assad, CAG Kichere
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema rufaa aliyokata kupinga kuondolewa kwa Profesa Mussa Assad katika wadhifa wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
Sakata wamiliki nyumba Sinza kwenda mahakamani, waziri atia neno
Soma zaidi...
Kauli ya mwisho Lissu akihitimisha majumuisho ya ushahidi mahakamani
Soma hapa...
Heche akataa barua za tume ya Jaji Chande kuwa vielelezo
Soma zaidi...
Jaji afuta uamuzi wa kuondolea Oparanya mashtaka ya ufisadi
MAHAKAMA Kuu imebatilisha uamuzi wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP) wa kuacha kumshtaki Waziri na aliyekuwa Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya kuhusu madai ya ufis...
Kweka apandishwa kizimbani tuhuma za mauaji ya mkewe
Soma zaidi hapa...
Makamu wa Rais Ndejembi aahidi kufanya kazi kwa uadilifu, uzalendo
Soma hapa...
Heche alivyokamilisha utetezi wake dhidi ya Lissu
Soma hapa...
Lissu, wakili walivyochuana mahakamani kwa maswali na majibu – 1
Soma zaidi...
Rais Mwinyi atoa ujumbe kwa Mahakama za Afrika
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema mabadiliko ya teknolojia yamebadili namna wananchi wanavyowasiliana na kupata huduma za umma, huku akizitaka Mahakama za Afrika kwen...
Turn fresh research into a full content calendar
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.