Aliacha kazi ya udaktari serikalini, sasa analenga kubadilisha sekta ya afya
MIAKA kadhaa iliyopita, Dkt Godfrey Macharia Kiruhi alipokuwa akifanya kazi katika hospitali ya umma, alikumbana kila siku na changamoto kadhaa. Wagonjwa walikuwa wengi, lakini...