Maandamano: Bob Njagi kuzuiliwa siku saba zaidi uchunguzi ukiendelea
MAHAKAMA ya Kajiado imeruhusu maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kumzuilia mwanaharakati Bob Njagi kwa siku saba huku wakiendelea na uchunguzi kuhusu madai ya kosa la uha...