Kenya Kwanza yazidisha presha kwa Natembeya
MUUNGANO wa Kenya Kwanza unaoongozwa na Rais William Ruto, umeanzisha kampeni kali ya kisiasa ya kuteka Kaunti ya Trans Nzoia kutoka kwa upinzani, hatua inayoongeza presha kwa Gava...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for George Natembeya Na Seneta Wa Vihiga.
Fresh curated links around George Natembeya na Seneta wa Vihiga are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
MUUNGANO wa Kenya Kwanza unaoongozwa na Rais William Ruto, umeanzisha kampeni kali ya kisiasa ya kuteka Kaunti ya Trans Nzoia kutoka kwa upinzani, hatua inayoongeza presha kwa Gava...
GAVANA wa Trans Nzoia George Natembeya amemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja kueleza sababu za kuondolewa kwa maafisa wa usalama waliokuwa wakimlinda, saa chache baada...
Trans Nzoia Governor George Natembeya claims the President has captured the Senate, National Assembly, police and military, and says officers blocked him from Kitale Market. The po...
MVUTANO wa kisiasa kati ya Rais William Ruto na Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya umechacha huku washirika wao wakipigana vikali kuhusu miradi ya maendeleo na uchaguzi wa 2027...
Trans Nzoia Governor George Natembeya has rejected accusations by President William Ruto that his Tawe Movement is obstructing development projects across the county. Responding to...
MVUTANO kati ya Rais William Ruto na Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya kuhusu kutenga vibanda katika Soko la Masinde Muliro, Kitale, ulichacha jana huku polisi wakitumwa kuli...
Trans Nzoia Governor George Natembeya says he has no problem cooperating with President William Ruto on county projects, but will not support his re-election and prefers Edwin Sifu...
The announcement comes even as the Nairobi senator prepares to announce his party after reports that he was left partyless.
Hesabu za kisiasa za aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 zinazidi kuwa ngumu kutokana na swali moja muhimu - iwapo ataruhusiwa kugombea au atalazim...
KIONGOZI wa DCP, Rigathi Gachagua, jana alirejea nchini kimya kimya baada ya ziara ya miezi miwili Amerika. Katika mkutano wake wa kwanza wa hadhi ya juu baada ya kurejea, Bw Ga...
MBIO za kumtafuta mgombeaji atakayepeperusha bendera ya upinzani dhidi ya Rais William Ruto katika uchaguzi wa 2027 zinageuka vita vya kizazi, huku vijana wakitaka kuchukua nafasi...
IKIWA imesalia chini ya miezi 10 kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027, upinzani unaendelea kukabiliwa na mashaka kuhusu viongozi wasioaminika ndani ya kambi hiyo, huku mvutano kuhusu mgo...
Spika wa Bunge la Kitaifa, Moses Wetang’ula, amesema serikali inaendelea kuwekeza katika maendeleo ya miundombinu na kuimarisha usalama katika Kaunti ya Marsabit ili kufungua fursa...
Kenya’s High Commissioner to India, Ambassador Peter Munyiri, has joined the Democracy for the Citizens Party (DCP) and plans to run for Nyeri governor in 2027, according to party...
Mabadiliko ya uongozi katika Chama cha Jubilee yamezua vita vipya vya kuwania usukani wa chama hicho, huku uteuzi wa Dkt Fred Matiang’i kushika hatamu ukishindwa kuzima mjadala kuh...
Washirika wa Rais William Ruto wanaonekana kuwa na nafasi muhimu katika juhudi za kumuinua Naibu Rais Kithure Kindiki kuwa msemaji wa kisiasa wa eneo la Mlima Kenya. Hafla ya Ju...
NAIBU wa Rais Prof Kithure Kindiki anatumia baraka za wazee waliomteua kuwa msemaji wa eneo la Mlima Kenya kupanua ushawishi wake katika Mlima Kenya Magharibi, ambako utawala wa Ra...
MGOMBEAJI wa ugavana Nairobi, Askofu Margaret Wanjiru, jana alipigwa jeki baada ya kupata uungwaji mkono kutoka kwa kiongozi wa Jubilee Fred Matiang’i katika uchaguzi wa 2027. Aki...
SENETA wa Nairobi, Edwin Sifuna, anaendelea kuimarika kisiasa kitaifa huku akivutia viongozi wa upinzani na wanadiplomasia wa kimataifa, jambo linaloashiria kuongezeka kwa ushawish...
Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has explained the decision to withdraw security officers assigned to Trans Nzoia Governor George Natembeya, accusing the county chief...
NAIBU Rais Profesa Kithure Kindiki huenda asiwe mgombea mwenza wa Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa 2027, Mbunge wa Ndia George Kariuki amedai. Bw Kariuki, ambaye ni msh...
KINARA wa Wiper Patriotic Front, Kalonzo Musyoka, ana uzoefu, ngome ya kisiasa ya kuaminika na nafasi nzuri katika kinyang’anyiro cha kutafuta mgombeaji urais wa upinzani mwaka 202...
KAMISHNA wa Kaunti ya Trans Nzoia Hussein Allaso amezua mzozo baada ya kuwaamuru maafisa wa serikali ya kitaifa kuacha kumsalimu Gavana George Natembeya, akimlaumu kwa kumkosea hes...
Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula ameongeza juhudi za kuimarisha uungwaji mkono kwa Rais William Ruto huku akimtaka kiongozi wa chama cha Democratic Action Party of Kenya...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.