Alitusaidia kifedha, msamehe, wazazi wa Sharon warai korti kuhusu Obado
WAZAZI wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Rongo aliyeuawa kinyama, Sharon Otieno, wameomba Mahakama Kuu imsamehe aliyekuwa Gavana wa Migori Okoth Obado na kumpa adhabu isiyohusisha ki...