Natambeya aitisha ufafanuzi kuhusu ulinzi wake kuondolewa
GAVANA wa Trans Nzoia George Natembeya amemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja kueleza sababu za kuondolewa kwa maafisa wa usalama waliokuwa wakimlinda, saa chache baada...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Gavana Wa Trans Nzoia George Natembeya Na Naibu Kiongozi Wa Dcp Cleophas Malala.
Fresh curated links around Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya na Naibu Kiongozi wa DCP Cleophas Malala are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
GAVANA wa Trans Nzoia George Natembeya amemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja kueleza sababu za kuondolewa kwa maafisa wa usalama waliokuwa wakimlinda, saa chache baada...
MVUTANO kati ya Rais William Ruto na Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya kuhusu kutenga vibanda katika Soko la Masinde Muliro, Kitale, ulichacha jana huku polisi wakitumwa kuli...
KAMISHNA wa Kaunti ya Trans Nzoia Hussein Allaso amezua mzozo baada ya kuwaamuru maafisa wa serikali ya kitaifa kuacha kumsalimu Gavana George Natembeya, akimlaumu kwa kumkosea hes...
MUUNGANO wa Kenya Kwanza unaoongozwa na Rais William Ruto, umeanzisha kampeni kali ya kisiasa ya kuteka Kaunti ya Trans Nzoia kutoka kwa upinzani, hatua inayoongeza presha kwa Gava...
MVUTANO wa kisiasa kati ya Rais William Ruto na Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya umechacha huku washirika wao wakipigana vikali kuhusu miradi ya maendeleo na uchaguzi wa 2027...
VIONGOZI kutoka kaunti za Meru na Samburu wamegawanyika kuhusu oparesheni ya usalama inayoendelea katika Kaunti ya Samburu kulenga majangili wanaodaiwa kuvamia maeneo ya Meru na Is...
Trans Nzoia Governor George Natembeya has rejected accusations by President William Ruto that his Tawe Movement is obstructing development projects across the county. Responding to...
FAMILIA mbili katika Kaunti ya Embu zinaandaa mazishi ya wana wao wawili waliopigwa risasi wakati wa makabiliano kati ya vijana na polisi katika mkutano wa kisiasa uliohudhuriwa na...
WANASIASA sasa wanamtaka Gavana Abdulswamad Nassir awajibike baada ya walinzi wake kuhusishwa na ufyatuliaji wa risasi uliowajeruhi vijana watatu Changamwe. Kulingana na Kamanda...
Trans Nzoia Governor George Natembeya claims the President has captured the Senate, National Assembly, police and military, and says officers blocked him from Kitale Market. The po...
Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has explained the decision to withdraw security officers assigned to Trans Nzoia Governor George Natembeya, accusing the county chief...
MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) ameidhinisha mashtaka ya mauaji dhidi ya washukiwa watano wanaodaiwa kuhusika na kifo cha wakili maarufu Mathew Kyalo Mbobu. Washukiwa hao n...
Political tensions flared in Trans Nzoia after Sifuna and Natembeya were blocked from speaking at a senior police officer’s funeral.
MAAFISA wa upelelezi wamepanua msako wa Inspekta Kenneth Kipkemoi Sang hadi Tanzania baada ya juhudi za kumkamata nchini Kenya kugonga mwamba. Inspekta Sang, ambaye ni mkuu wa K...
Soma hapa...
The leaders want IG Kanja to order a thorough and transparent investigation into the incident.
KIONGOZI wa DCP, Rigathi Gachagua, jana alirejea nchini kimya kimya baada ya ziara ya miezi miwili Amerika. Katika mkutano wake wa kwanza wa hadhi ya juu baada ya kurejea, Bw Ga...
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru (DC), Neema Lugangira, amekemea mauaji ya Rebeca Naffi (22), akilitaka Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini wote waliohusika na kuhakikis...
MAAFISA wa polisi waliojihami kwa silaha jana walizingira makazi ya Mbunge wa Manyatta Gitonga Mukunji huko Mutunduri, siku moja baada ya vijana wenye hasira kujaribu kuvuruga mkut...
VIONGOZI wa DCP wamepinga kutawazwa kwa Naibu Rais Prof Kithure Kindiki kuwa msemaji wa eneo la Mlima Kenya, wakisisitiza kuwa uongozi wa kisiasa huamuliwa na wananchi wala si waze...
VIONGOZI wa Wiper wamekosoa serikali kwa kile walichosema ni ugavi usio wa haki wa rasilimali, ajira na miradi ya maendeleo nchini. Kiongozi wa chama hicho, Kalonzo Musyoka, amemt...
IKIWA imesalia chini ya miezi 10 kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027, upinzani unaendelea kukabiliwa na mashaka kuhusu viongozi wasioaminika ndani ya kambi hiyo, huku mvutano kuhusu mgo...
POLISI wamemkamata Kassim Abdi Sebo, anayeshukiwa kuongoza genge lililolaumiwa kutekeleza wizi kabla ya mkutano wa Linda Mwananchi uliofanyika Homa Bay Agosti 16. Abdi alikamatw...
AFISA Mkuu Msimamizi wa kituo cha polisi (OCS) cha Lamu Central anauguza majeraha aliyopata kwenye makabiliano na mshukiwa wa uhalifu. Kamanda wa Polisi wa Lamu, Bw Shadrack Ru...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.