Orengo: Mimi ndio nimeiva kuwa rais na nitashindana na Sifuna kwa tiketi 2027
GAVANA wa Siaya James Orengo amemtaka Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na wagombeaji wengine ndani ya Linda Mwananchi kukubali uteuzi wa wazi wanaposaka mwaniaji wao wa urais kueleke...