Orengo anakodolea macho historia mbovu hatari ya kuwa gavana wantam ikimzonga Siaya
HUENDA historia ikajirudia kwa Gavana James Orengo wa Siaya katika uchaguzi mkuu ujao kwani dalili zaonyesha atapoteza wadhifa huo baada ya kukaidi uongozi wa chama chenye ushawish...