Latest updates for Gavana Wa Nakuru Susan Kihika Pamoja Na Maseneta Tabitha Karanja Na Edwin Sifuna

Fresh curated links around Gavana wa Nakuru Susan Kihika pamoja na Maseneta Tabitha Karanja na Edwin Sifuna are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Wetangúla akemewa kwa kumwidhinisha Nakhumicha kuwania ugavana Trans Nzoia
  • Kalonzo, Karua, Maraga na Wamalwa wajiunga na maandamano, waelekea majengo ya Bunge
  • Sababu tatu kuu za Sifuna kukwama ODM

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Wetangúla akemewa kwa kumwidhinisha Nakhumicha kuwania ugavana Trans Nzoia

HATUA ya Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangúla, kumuidhinisha Waziri wa zamani, Susan Nakhumicha, kuwania ugavana Trans Nzoia kumechemsha viongozi wa vyama tanzu ndani ya Kenya...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Kalonzo, Karua, Maraga na Wamalwa wajiunga na maandamano, waelekea majengo ya Bunge

Viongozi wa upinzani wamejitokeza katikati mwa jiji la Nairobi kuungana na familia za waathiriwa wa maandamano ya Gen Z  miaka ya 2024 na 2025. Kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyok...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Sababu tatu kuu za Sifuna kukwama ODM

UAMUZI wa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kupinga mahakamani hatua ya ODM kumuondoa katika wadhifa wa Katibu Mkuu, unatazamwa na wachanganuzi wa siasa kama mkakati wa kumpa muda, ku...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Sifuna bado kikaangoni baada ya ODM kupewa ruhusa ya kumwadhibu

SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna anakabiliwa na maamuzi muhimu ya kisiasa baada ya Mahakama ya Kutatua Migogoro ya Vyama vya Kisiasa (PPDT) kuruhusu chama cha ODM kuendelea na mchaka...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /11 hours ago

Mkutano mkubwa wa Sifuna Bungoma wachemsha Magharibi Didmus naye akidaiwa kupanga wake

UMAARUFU unaozidi kuongezeka wa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna umeibua ushindani mkali wa kisiasa katika eneo la Magharibi, huku viongozi wanaounga mkono serikali wakizidisha juhud...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Mbunge anayehusishwa na ghasia eneo la Kuresoi asakwa

MBUNGE wa Kuresoi Kaskazini, Alfred Mutai bado anasakwa na polisi kwa kuhusishwa na ghasia kati ya wafuasi wake na wale wa Gavana wa Nakuru Susan Kihika wikendi katika eneobunge hi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

OneTam: Ndoana ya Sifuna yanasa Maraga 2027 ikikaribia

ALIYEKUWA Jaji Mkuu David Maraga ameongeza nguvu mpya kambi ya Linda Mwananchi baada ya kuungana na viongozi wake katika juhudi za kuimarisha umoja wa upinzani kuelekea uchaguzi mk...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

SIASA: Mvutano viongozi wakionya ODM kuhusu tikiti ya ugavana Kisumu

BAADHI ya viongozi wa ODM kutoka Kaunti ya Kisumu wameonya chama hicho kwamba hawatakubali demokrasia ya maafikiano katika kinyang’anyiro cha ugavana mnamo 2027, wakisisitiza kuwa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Sifuna: Mimi si mradi wa kigogo yeyote, tunachangisha pesa za mikutano kupitia Mpesa

KATIBU Mkuu wa ODM, Edwin Sifuna, amekanusha madai kwamba anafadhiliwa kisiasa na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta ili kudhoofisha utawala wa Rais William Ruto huku uchaguzi mkuu wa mwa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Onetam! Keter ajiunga na Linda Mwananchi ngome ya Ruto ikichemka

ALIYEKUWA Mbunge wa Nandi Hills, Alfred Keter, ameinuka tena kisiasa baada ya kipindi kirefu cha ukimya, akilenga kuvuruga ushawishi wa chama cha UDA kinachoongozwa na Rais William...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

OneTam: Sifuna aidhinishwa kuwa kigogo wa Mulembe

SENETA wa Kakameg,a Boni Khalwale amemuidhinisha Katibu Mkuu wa ODM Edwin Sifuna kama kigogo wa siasa za Jamii ya Mulembe na kusema sasa ana baraka za kuongoza jamii hiyo kuelekea...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Viongozi wa upinzani watua Magharibi kuuza sera

VIONGOZI wa upinzani Ijumaa walianza ziara ya siku tatu katika eneo la Magharibi mwa Kenya wakimshutumu Rais William Ruto kwa kile walichodai ni kusaliti jamii ya Waluhya baada ya...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Kivumbi Gachagua na Murkomen wakivurugana kwa maneno makali: ‘Umelewa madaraka’

JOTO la kisiasa nchini limezidi kupanda huku viongozi wa upinzani wakimjia juu Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen, kufuatia msururu wa mashambulizi ya maneno dhidi ya kiongozi wa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Sifuna ajipanga, atia guu moja nje ya ODM akianza kuwazia urais

SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna anatarajiwa kuongoza wimbi la viongozi kujiondoa katika chama cha ODM baada ya viongozi wa jamii ya Waluhya wanaohusishwa na mrengo wa Linda Mwananch...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Linda Mwananchi kuvamia ngome ya Matiang’i wiki ijayo

VUGUVUGU la Linda Mwananchi linatarajiwa kuingia katika maeneo ya Kisii na Nyamira wiki ijayo, hatua inayotafsiriwa na wachambuzi wa siasa kama jaribio la kupima ushawishi wa Dkt F...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Gachagua na Murkomen wapondana kuhusu ghasia eneo la Ol Kalou

VITA vya kisiasa kati ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua na Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen vimechukua mkondo mpya baada ya wawili hao kurushiana lawama kuhusu...

Read source
nairobiwire.com /1 month ago

Sifuna Takes Linda Mwananchi Rally to Kalonzo’s Backyard

Nairobi Senator Edwin Sifuna announced on Wednesday, May 20, that the next Linda Mwananchi rally will take place in Machakos County. Sharing the update on his verified social media...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wimbi la Sifuna latikisa vigogo wa kisiasa wa miaka mingi Magharibi

MABADILIKO makubwa ya kisiasa yanaendelea kushuhudiwa katika eneo la Magharibi mwa Kenya huku Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna akijitokeza kama sauti mpya inayotikisa vigogo wa muda...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

31 waliokamatwa wakati wa maandamano ya kupinga kituo cha Ebola waachiliwa

WATU 31 waliokamatwa wakati wa maandamano ya Jumatatu dhidi ya mpango wa serikali wa kuanzisha kituo cha kutenga wagonjwa wa Ebola katika Kaunti ya Laikipia, jana waliachiliwa huru...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Wabunge waendea Murkomen aeleze walipo vijana watatu waliotekwa nyara Kiamaiko

WABUNGE wanataka Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen kueleza walipo watu watatu wakazi wa eneobunge la Mathare waliopotea katika mazingira ya kutatanisha ndani ya kipindi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Kampeni zachacha Ol Kalou zikibaki siku 10 kura zipigwe

HUKU zikisalia siku kumi pekee kabla ya uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ol Kalou, ushindani huo umegeuka kuwa kipimo cha nguvu za kisiasa katika eneo la Mlima Kenya kuelekea Uchaguzi M...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Gavana Wanga achemsha maseneta kwa matumizi ya Sh500,000 kujenga choo

GAVANA wa Homa Bay Gladys Wanga alipofika mbele ya Kamati ya Seneti ya Hesabu za Umma wiki iliyopita kujibu hoja zilizotolewa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu matumizi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Vigogo wa Meru sasa wasaka maridhiano na Kawira

BAADHI ya viongozi kutoka Kaunti ya Meru waliohusika katika kumbandua gavana wa zamani Kawira Mwangaza mamlakani, sasa wanasaka kuridhiana naye kuelekea uchaguzi huo. Viongozi hao...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Gachagua kujifungia Wamunyoro siku 45 kushauriana na washirika wake wa kisiasa

IMEBAINIKA kuwa uamuzi wa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kujifungia katika kijiji chake cha Wamunyoro kwa siku 45 katika kile alichokiita “mchakato mpana wa mashauriano” na...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Gavana Wa Nakuru Susan Kihika Pamoja Na Maseneta Tabitha Karanja Na Edwin Sifuna

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source