Wetangúla akemewa kwa kumwidhinisha Nakhumicha kuwania ugavana Trans Nzoia
HATUA ya Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangúla, kumuidhinisha Waziri wa zamani, Susan Nakhumicha, kuwania ugavana Trans Nzoia kumechemsha viongozi wa vyama tanzu ndani ya Kenya...