Latest updates for Gavana Wa Lamu Issa Timamy

Fresh curated links around Gavana wa Lamu Issa Timamy are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Rais amtaka Shahbal asiwanie ugavana Mombasa, asalie katika ujasiriamali
  • Shahbal aanza kurindima ngoma akilenga ugavana Mombasa
  • Shahbal njiapanda kuhusu ugavana, akumbushwa ‘ana dili nyingi za kibiashara na serikali’

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Rais amtaka Shahbal asiwanie ugavana Mombasa, asalie katika ujasiriamali

RAIS William Ruto amejitokeza waziwazi kumshawishi mfanyabiashara Suleiman Shahbal kuachana na azma ya kuwania ugavana wa Mombasa, akisema bwanyenye huyo anaweza kulitumikia taifa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Shahbal aanza kurindima ngoma akilenga ugavana Mombasa

MFANYABIASHARA Suleiman Shahbal ameanza kufufua mtandao wake wa kisiasa katika kaunti ya Mombasa akijitayarisha kwa kinyanganyiro cha uchaguzi mkuu wa 2027, huku akimuonya Rais Wil...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Shahbal njiapanda kuhusu ugavana, akumbushwa ‘ana dili nyingi za kibiashara na serikali’

MWEKEZAJI na mwanasiasa Suleiman Shahbal anakabiliwa na changamoto ya kutenganisha mikataba yake ya mabilioni ya pesa katika miradi ya serikali na azma yake ya ugavana Mombasa, huk...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Jubilee yalenga kiti  cha ugavana Mombasa

USHINDANI wa ugavana wa Mombasa katika uchaguzi wa 2027 unatarajiwa kupima uwezo wa vyama vya upinzani kuungana dhidi ya Rais William Ruto ili kudhibiti nyadhifa muhimu za uongozi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Omar aunga Shahbal kupinga mpango wa kukinga gavana Nassir

KATIBU Mkuu wa chama cha United Democratic Alliance (UDA), Hassan Omar, ameungana na mfanyabiashara Suleiman Shahbal kupinga juhudi zozote za kisiasa zinazolenga kuwazuia wagombeaj...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Shahbal amkaidi Ruto, atema ODM na kuapa kuwania ugavana Mombasa

UAMUZI wa mfanyabiashara na mwanasiasa Suleiman Shahbal kukataa jaribio la Rais William Ruto kumshawishi asigombee ugavana wa Mombasa, na kutangaza kujiondoa katika Chama cha ODM,...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

Msimsalimu Natembeya, amri kwa polisi kuhusu Ruto yavuta hisia

KAMISHNA wa Kaunti ya Trans Nzoia Hussein Allaso amezua mzozo baada ya kuwaamuru maafisa wa serikali ya kitaifa kuacha kumsalimu Gavana George Natembeya, akimlaumu kwa kumkosea hes...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Lamu yang’aa kimataifa ndege za kifahari zikitua

KAUNTI ya Lamu imeandika historia mpya baada ya Uwanja wa Ndege wa Manda kupokea safari za ndege za kimataifa kwa mara ya kwanza, hatua inayotarajiwa kufungua fursa mpya za biashar...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mbunge aandaa mbio za baiskeli kuboresha afya, kuhubiri amani

ZAIDI ya watu 500 walijitokeza eneo la Baharini, tarafa ya Mpeketoni, Lamu Magharibi kushuhudia mbio za baiskeli. Mashindano hayo yaliyodhaminiwa na ofisi ya Mbunge wa Kike wa kau...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Diwani asema Sakaja hafai kupewa ‘tutam’ sababu ameshindwa kuwahudumia wakazi ipasavyo

DIWANI wa Wadi ya Nairobi South, Waithera Chege, amesema rekodi ya maendeleo ya Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja haimruhusu kuwania muhula wa pili 2027. Akizungumza katika mkuta...

Read source
mwananchi.co.tz /4 weeks ago

Chalamila kula sahani moja na wamiliki waliokiuka vibali Kariakoo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amesema atawaandikia barua wamiliki wote wa majengo katika eneo la Kariakoo waliokiuka masharti ya vibali vya ujenzi, akiwataka...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Kutana na waziri aliyehudumu miezi 9 pekee na kubanduliwa

Kimaiyo arap Sego aliingia katika siasa za kitaifa akiwa mwanasheria kijana mwenye matumaini makubwa, akampiku waziri Henry Kosgey katika kura za Kanu na kutwaa wadhifa wa Waziri w...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Gavana asihi wakazi wa Taita Taveta wasiunge Gachagua

VIONGOZI wa Taita-Taveta wakiongozwa na Gavana Andrew Mwadime wamewaonya wakazi wa Pwani dhidi ya kuunga mkono siasa za upinzani zinazoongozwa na kinara wa chama cha DCP, Bw Rigath...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Sakata wamiliki nyumba Sinza kwenda mahakamani, waziri atia neno

Soma zaidi...

Read source
mwananchi.co.tz /18 hours ago

Waziri Shemdoe aruhusu bajaji kurejea barabara kuu Mbeya

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Profesa Riziki Shemdoe, ameondoa zuio la bajaji kuondolewa katika Barabara Kuu ya Tanzam jijini Mbeya, huku akielekeza kuundwa kwa...

Read source
nairobiwire.com /1 month ago

Shahbal Warns Against Leaving Politics to ‘Incompetent’ Leaders

East African Legislative Assembly (EALA) MP Suleiman Shahbal has reiterated that he will contest the Mombasa governor’s seat in 2027, rejecting President William Ruto’s plea to wit...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Mamlaka ya Zanzibar yaibua mgongano wa Wasira, Othman

Soma zaidi...

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Fatma Karume, shahidi wa ukombozi, mlezi wa wanawake

Soma hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Lamu yageuzwa kambi ya kijeshi wakati wa uzinduzi wa mradi wa Sh2 trilioni

KAUNTI ya Lamu ilikuwa katika ulinzi mkali wa kijeshi jana wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote East Africa Petroleum R...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Gavana alivyojitokeza mbele ya seneti bila mwaliko na kuzua mdahalo

GAVANA wa Kaunti ya Isiolo, Abdi Guyo, alifika mbele ya kamati ya seneti pasipo ajenda rasmi, mwaliko wala tarehe ya kikao na kuweka utangulizi unaowapa mwanya wakuu wa kaunti kuam...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kambi afichua atazindua chama cha Pwani kujipa ushawishi kama DCP ya Gachagua Mlimani

UFICHUZI wa aliyekuwa Waziri wa Leba, Bw Kazungu Kambi, kwamba anapanga kuzindua chama kipya cha kisiasa, umeibua mwelekeo mpya wa kisiasa katika eneo la Pwani kuelekea kwa Uchaguz...

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Waziri Omar apiga marufuku majungu, urasimu, atishia kuwafukuza

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Omar Said Shaaban ametangaza msimamo mkali dhidi ya majungu, urasimu na utendaji wa mazoea, akisema hatasita kuwaondoa watumish...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Ardhi yenye thamani ya mamilioni aliyotwaa mwanasiasa wa zamani irejeshewe umma- korti

MAHAKAMA ya Mazingira na Ardhi imeamuru ardhi yenye thamani ya takriban Sh25 milioni jijini Mombasa ambayo ilitwaliwa kinyume cha sheria na mwanasiasa wa zamani mwaka 1994 irejeshw...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Viongozi wa Kenya Kwanza wazidi kuunga mkono Mung’aro achaguliwe tutam

GAVANA wa Kilifi, Bw Gideon Mung’aro, amezidi kuungwa mkono na viongozi wa Kenya Kwanza kutetea kiti hicho katika Uchaguzi wa 2027. Spika wa Seneti, Bw Amason Kingi, alisema wan...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Gavana Wa Lamu Issa Timamy

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source