Matiang’i ajitetea baada ya kukutana na Arati na Junet
ALIYEKUWA Waziri wa Usalama wa Ndani, Dkt Fred Matiang'i amelazimika kufafanua mkutano wake wa ghafla na Naibu Kiongozi wa Chama cha ODM Simba Arati pamoja na Kiongozi wa Wachache...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Gavana Wa Kisii Simba Arati Na.
Fresh curated links around Gavana wa Kisii Simba Arati na are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
ALIYEKUWA Waziri wa Usalama wa Ndani, Dkt Fred Matiang'i amelazimika kufafanua mkutano wake wa ghafla na Naibu Kiongozi wa Chama cha ODM Simba Arati pamoja na Kiongozi wa Wachache...
GHASIA za Ijumaa dhidi ya msafara wa Linda Mwananchi katika Kaunti ya Kisii ambapo mtu mmoja aliuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa zinaonyesha jinsi ushindani wa kisiasa unavyoendel...
VITA vya kisiasa kati ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua na Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen vimechukua mkondo mpya baada ya wawili hao kurushiana lawama kuhusu...
MBUNGE wa Embakasi Mashariki David Gikaria alipewa hadi saa saba unusu kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Nidhamu ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Nchini (IEBC) baada ya kukosa...
JAJI Mkuu Mstaafu David Maraga Jumatatu alikuwa kati ya watu walionyakwa wakati wa maandamano ya amani ya kupinga mpango wa serikali kuanzisha kituo cha kuwatunza wanyama katika mb...
GAVANA wa Siaya, James Orengo, amejitokeza kama sura ya maasi dhidi ya serikali baada ya kifo cha Raila Odinga huku Wakenya wakiingia kwenye wiki ya kuadhimisha miaka miwili baada...
USHINDANI mkali wanukia katika Kaunti ya Taita Taveta huku idadi ya wanaotaka kuwania ugavana ikiongezeka. Gavana wa kaunti hiyo, Bw Andrew Mwadime, na naibu wake Bi Christine Kil...
MBUNGE wa Kuresoi Kaskazini, Alfred Mutai bado anasakwa na polisi kwa kuhusishwa na ghasia kati ya wafuasi wake na wale wa Gavana wa Nakuru Susan Kihika wikendi katika eneobunge hi...
ALIYEKUWA Gavana wa Bomet, Isaac Ruto, ametangaza kuwa ana imani atashinda uteuzi wa UDA na kurejelea kiti chake katika uchaguzi mkuu 2027. Bw Ruto alisema kuwa uchaguzi wa mashin...
BAADHI ya viongozi wa ODM kutoka Kaunti ya Kisumu wameonya chama hicho kwamba hawatakubali demokrasia ya maafikiano katika kinyang’anyiro cha ugavana mnamo 2027, wakisisitiza kuwa...
ALIYEKUWA Waziri Msaidizi, Ken Obura ametangaza kuwa hana shughuli na chama cha ODM na atawania wadhifa wa ugavana Kisumu kama mgombeaji huru. Haya yanajiri huku wagombea tisa w...
SIASA za kutumia makundi ya wahuni kuwashambulia wapinzani zinaonekana kushika kasi katika Kaunti ya Kisii huku visa vya mashambulizi mchana peupe vikizua hofu miongoni mwa wakazi....
MATOKEO ya uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ol Kalou leo yatatoa mwelekeo wa kisiasa katika eneo lenye idadi kubwa ya wapigakura la Mlima Kenya kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Ni kat...
VUGUVUGU la Linda Mwananchi linatarajiwa kuingia katika maeneo ya Kisii na Nyamira wiki ijayo, hatua inayotafsiriwa na wachambuzi wa siasa kama jaribio la kupima ushawishi wa Dkt F...
ALIYEKUWA Naibu wa Rais Rigathi Gachagua kuanzia leo atajiondoa kwa muda katika shughuli za kisiasa na kujifungia katika makazi yake ya Wamunyoro, Kaunti ya Nyeri, kwa siku 45....
CHAMA cha UDA kinachoongozwa na Rais William Ruto kinafanya juu chini kuhakikisha kinashinda uchaguzi mdogo wa eneobunge la Ol Kalou ikiwemo kutumia miradi kuwavutia wapigakura....
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.