Karua na Kanjama watoroka ghasia zilipozuka shule ya kijamii ya Gatoto
JARIBIO la kukabidhi umiliki wa Shule ya Msingi ya Jamii ya Gatoto iliyoko Mukuru kwa Reuben kwa wamiliki wake wa kibinafsi lilikwama Alhamisi baada ya umati wenye hasira kuwafurus...