Gachagua akubali fidia ya Sh50m, akata rufaa kwa maamuzi mengine ya korti
ALIYEKUWA Naibu Rais Rigathi Gachagua Jumanne alikubali fidia ya Sh50 milioni kwa kutimuliwa serikalini bila kusikizwa, lakini akakata rufaa kuhusu maamuzi mengine yote yaliyofanyw...