Wetang’ula amtaka Wamalwa aunge mkono Ruto, amshauri Uhuru astaafu siasa za upinzani
Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula ameongeza juhudi za kuimarisha uungwaji mkono kwa Rais William Ruto huku akimtaka kiongozi wa chama cha Democratic Action Party of Kenya...