Mishi Mboko aomba Waziri Murkomen akomesha unyanyasaji dhidi ya wanawake
MBUNGE wa Likoni, Mishi Mboko ameomba Waziri wa Usalama wa ndani Kipchumba Murkomen kuingilia kati na kukomesha ukatili dhidi ya wanawake katika Kaunti ya Mombasa. Bi Mboko alia...