Benki ya Equity yaripoti kuvuna faida kemkem ikielezea kuimarika sekta ya mikopo na akiba
EQUITY Group Holdings imeripoti ongezeko la asilimia 32 la faida baada ya ushuru katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu, ikiashiria kuimarika kwa biashara yake nchini Kenya na ka...