Mkakati wasukwa kuwawezesha wanafunzi kuongeza ufaulu
Ili kuinua kiwango cha elimu, imezinduliwa programu maalumu itakayowawezesha wanafunzi wa msingi na sekondari kufaulu mitihani yao ya kitaifa.
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Elimu Ya Kutwa Ya Sekondari Bila Malipo (Fdse).
Fresh curated links around Elimu ya Kutwa ya Sekondari Bila Malipo (FDSE) are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Ili kuinua kiwango cha elimu, imezinduliwa programu maalumu itakayowawezesha wanafunzi wa msingi na sekondari kufaulu mitihani yao ya kitaifa.
Dirisha hilo limefunguliwa ikiwa ni siku chache baada ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka 2026 huku asilimia 99.92 ya waliofanya mtihani huo wamefaulu.
Katibu wa NEC wa CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amepongeza utekelezaji wa mradi huo akisema unaonyesha dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita katika kuboresha sekt...
Soma zaidi hapa...
HUENDA wazazi wakalazimika kulipa karo ya juu zaidi kwa watoto wao wanaosoma katika shule za upili za umma ikiwa mapendekezo mapya ya wakuu wa shule yatapitishwa na serikali. Waku...
KWA maelfu ya vijana nchini, ndoto ya kujiunga na vyuo vikuu au taasisi za kiufundi hukwama kutokana na ukosefu wa karo. Wengi hulazimika kuahirisha masomo, huku wengine wakichu...
Shule zilizonufaika na mpango huo ni Nguvumali, Mikanjuni, Hoteni, Kihera, Mwapachu, Tongoni, Kirare na Marungu pamoja na shule nyingine mbili za jiji hilo.
BARAZA la Kitaifa la Mitihani Kenya (KNEC) limetangaza masharti mapya yanayowahusu wanafunzi wanaotarajia kufanya mtihani wa kidato cha nne (KCSE) mwaka 2027 wasio na cheti cha Mti...
Katika ulimwengu wa sasa unaobadilika kwa kasi, mafanikio ya mwanafunzi hayapimwi tena kwa alama za mitihani pekee.
Watahiniwa waliozuiwa matokeo ni 184 wa mtihani wa kidato cha sita (ACSEE), watano wa mtihani wa Stashahada ya Ualimu wa Elimu ya Msingi (DPEE) na mmoja wa Mtihani wa Stashahada ya...
Kati ya wanafunzi hao 631 ni wenye mahitaji maalumu.
Bonyeza hapa kupata matokeo kamili...
Soma hapa...
Wakati Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ikifungua dirisha la maombi ya udahili wa Shahada ya Kwanza kwa mwaka wa masomo 2026/2027, taasisi za elimu ya juu nchini zimeweka nafasi z...
Ni mazoea ya kila asubuhi watoto wengi huamka kuelekea shuleni pasipo kufikiria changamoto zinazoweza kuwazuia kufika darasani.
Soma zaidi hapa...
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limesema jumla ya watahiniwa 124,603 sawa na asilimia 99.56 wamepata ufaulu mzuri wa daraja kwanza hadi la tatu.
KWA wanafunzi wengi, kutajwa kwa masomo ya Hisabati na Fizikia pekee hutosha kuzua wasiwasi ndani yao. Wengine huamini kuwa ni masomo magumu yanayohitaji kipaji cha pekee cha kuza...
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wameungana kutoa elimu na huduma ya upatikanaji wa viambatanisho kwa waombaji wa mikopo k...
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, imesaini makubaliano ya ushirikiano na Shirikisho la Jumuiya ya Watu Wenye Ulemavu Norway (NAD) yenye thamani ya Sh3 bilioni kwa ajili...
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa (UN) imezua mjadala mpana kuhusu mustakabali wa elimu duniani baada ya kubainisha kuwa karibu watoto milioni 100 wameachishwa shule moja kwa moja ku...
Serikali imesema itaendelea kuwekeza katika sekta za kimkakati, hususan elimu ya sayansi, ikieleza kuwa maendeleo ya Taifa yanategemea uwepo wa wataalamu wa sayansi na teknolojia w...
Baraza la Famasi ni taasisi ya Serikali iliyo chini ya Wizara ya Afya, yenye jukumu la kusajili wataalamu wa famasi, kusimamia maadili yao pamoja na kuhakikisha wanatoa huduma kwa...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.