Omollo aonya wanaopanga kuvuruga mkutano wa Linda Mwananchi Kisumu
KATIBU Mkuu katika Wizara ya Usalama wa Ndani, Dkt Raymond Omollo jana alitua jijini Kisumu kwa kishindo na kutoa onyo kali kuwa serikali itapambana na magenge ya kisiasa kudumisha...