Digrii ya Didmus ya uhandisi ni feki, hakuwahi kuwa mwanafunzi wetu – Chuo cha JKUAT
CHUO Kikuu cha Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology (JKUAT) kimesema Mbunge wa Kimilili, Didmus Barasa, hakuwahi kuwa mwanafunzi chuoni humo wala hakikumtunuku sh...