Dawa za mamilioni ya pesa zaharibika Kemsa wagonjwa nchini wakiteseka
RIPOTI ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imefichua jinsi dawa za kuokoa maisha za thamani ya mamilioni zilivyoharibikia katika mabohari ya Mamlaka ya Usambazaji Vifaa vya Matib...