Kioja daraja likisombwa na mafuriko lilipoanza kutumika Baringo ya Kati
WAKAZI wa kijiji cha Chesongo, Baringo Kati, wamebaki wakishangaa baada ya daraja jipya la watembea kwa miguu kusombwa na mafuriko saa chache tu baada ya kuzinduliwa rasmi. Daraja...