Latest updates for Dai La Malumbano Ya Sifuna Na Babu

Fresh curated links around Dai la malumbano ya Sifuna na Babu are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Je, safari ya Sifuna kuingia ikulu imeanza kuyumba?
  • Mishale ya Serikali kwa Sifuna yaongezeka
  • Sifuna apanda bei, ang’ang’aniwa na mabalozi na vinara wa Upinzani

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Je, safari ya Sifuna kuingia ikulu imeanza kuyumba?

SIASA za upinzani nchini Kenya zimefika mahali ambapo umaarufu wake hauwezi tena kuficha madhaifu katika ngazi ya uongozi wake. Linda Mwananchi ilipoibuka, ilionyesha kusudi la ku...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 day ago

Mishale ya Serikali kwa Sifuna yaongezeka

SENETA wa Nairobi, Edwin Sifuna amekuwa mlengwa wa matamshi makali kutoka kwa viongozi wa serikali ya Kenya Kwanza, huku akizidisha juhudi za kujijenga kisiasa kuelekea kwenye ucha...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Sifuna apanda bei, ang’ang’aniwa na mabalozi na vinara wa Upinzani

SENETA wa Nairobi, Edwin Sifuna, anaendelea kuimarika kisiasa kitaifa huku akivutia viongozi wa upinzani na wanadiplomasia wa kimataifa, jambo linaloashiria kuongezeka kwa ushawish...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wantam: ODM yamalizana na Sifuna licha ya nyota yake kung’aa

MZOZO wa miezi kadhaa kati ya ODM na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna umefikia kikomo baada ya Jopo la Kutatua Migogoro ya Vyama vya Kisiasa (PPDT) kutupilia mbali ombi lake la kutak...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Hesabu za siasa za 2027 zinamla kichwa Sifuna

AZMA ya Edwin Sifuna ya kuwania urais inaonekana kuingia katika kipindi chake kigumu zaidi. Kilichoanza kama harakati yenye nguvu na umoja chini ya Linda Mwananchi sasa kimeanza...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Uchumba wa Rigathi, Sifuna kisiasa utautikisa upinzani

MJADALA kuhusu uchaguzi mkuu wa 2027 umechukua mkondo mpya baada ya kauli za viongozi wa kisiasa kuashiria uwezekano wa kuibuka kwa muungano wa kisiasa kati ya aliyekuwa Naibu Rais...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Barua mbili zaibuka kuhusu usajili wa jina ‘Ukombozi’ linalogonganisha Sifuna na Kalonzo

BARUA mbili zinazokinzana zinazodaiwa kuhifadhi jina la ‘Ukombozi’ kwa makundi mawili tofauti zimeweka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Kisiasa (ORPP) katikati ya mzozo mpya unaowahus...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Kalonzo awataka wabunge wa chama chake kuhepa Sifuna

KIONGOZI wa Wiper Kalonzo Musyoka amewataka viongozi wa chama hicho waliokuwa wakizunguka na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuvumisha vuguvugu la Linda Mwananchi kurejea katika shu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Sifuna apata pigo tena katika juhudi za kupata chama

JUHUDI za washirika wa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kupata chama cha United Democratic Party (UDP) kama jukwaa la kuwania urais mwaka 2027 zimepata  pigo jipya baada ya viongozi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kauli mbiu ya Wantam yatawala Nairobi Sifuna akitamba jijini

SENETA wa Nairobi, Edwin Sifuna na viongozi wa Linda Mwananchi jana walitikisa Jiji Kuu la Nairobi kupitia misururu ya mikutano mikubwa iliyovumisha ujumbe wa kumbandua Rais Willia...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Sakaja na Aladwa pabaya Nairobi wabunge wa ODM wakianza kuunga Babu hadharani

CHAMA cha ODM kinakabiliwa na kibarua kigumu katika kuamua mgombea wake wa ugavana Nairobi baada ya baadhi ya wabunge kujitokeza hadharani kumuunga mkono Mbunge wa Embakasi Mashari...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /4 weeks ago

Sifuna ngangari licha ya misukosuko ya kupata chama

SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna anakabiliwa na shinikizo la kupata chama atakachotumia kuwania urais katika uchaguzi wa 2027, huku pia akishughulikia tofauti za kisiasa ndani ya vug...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Hali si shwari ndani ya Linda Mwananchi

MIVUTANO kuhusu madaraka na azma zinazokinzana za kisiasa miongoni mwa viongozi wakuu wa Linda Mwananchi imejitokeza hadharani, huku makundi tofauti yakionekana kuvutana kuhusu mwe...

Read source
nairobiwire.com /1 month ago

Babu Owino Dismisses Homa Bay Comments as Proof of Split With Sifuna

Embakasi East Member of Parliament Babu Owino dismissed reports suggesting a political rift between him and Nairobi Senator Edwin Sifuna. Addressing a youth gathering on Wednesday,...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Sifuna ajiandaa kuzindua chama cha Ukombozi People’s Party (UPP)

MIPANGO ya kuzindua Ukombozi People’s Party (UPP), chama kinachotarajiwa kutumiwa na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna katika azma yake ya kuwania urais mwakani, imeanza kushika kasi...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 days ago

Wanamtusi mjane, watoto wa Raila, Sifuna akashifu viongozi wa ODM

SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna na baadhi ya viongozi wa Linda Mwananchi wamewakosoa baadhi ya viongozi wa ODM kwa kumkosea heshima mjane wa Raila Odinga, Mama Ida pamoja na familia...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Sifuna awatikisa Mudavadi, Atwoli; waanza ziara Magharibi kumtetea Ruto kwa wananchi

WIMBI la kisiasa la Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kupitia vuguvugu la Linda Mwananchi limewafanya baadhi ya viongozi wakuu wa serikali kutoka eneo la Magharibi kuanza kampeni kali...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wantam: Sifuna atua Meru kwa kishindo!

SIKU chache baada ya kukumbwa na ghasia zilizosababisha vifo katika Kaunti ya Homa Bay, viongozi wa vuguvugu la Linda Mwananchi jana walijipigia debe katika Kaunti ya Meru wakisema...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Ushindi kwa Sifuna akipata idhini kusajili Linda Mwananchi

SENETA wa Nairobi, Edwin Sifuna, amepata ushindi mkubwa  kisiasa baada ya Jopo la Kusuluhisha Migogoro ya Vyama vya Kisiasa kubatilisha uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Kisiasa ulioz...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Sifuna na Orengo wazika tofauti zao za kisiasa kuelekea 2027

GAVANA wa Siaya, James Orengo na Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, wameanza juhudi za kupunguza mvutano uliokuwa ukiongezeka ndani ya vuguvugu la Linda Mwananchi baada ya wiki moja...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Mwanamume amshtaki Sifuna akitaka kujua alivyotumia Sh55 alizomchangia

MWANAMUME anayedai alichangia Sh55 kwa kampeni ya Linda Mwananchi, amewasilisha kesi katika Mahakama Kuu akiomba itoe amri kumlazimisha Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, na vuguvugu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 week ago

Sifuna asema amekuwa na maadui wengi tangu Raila aage dunia 2025

SENETA wa Nairobi, Edwin Sifuna, amesema kifo cha aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga kimebadilisha maisha yake kisiasa na kibinafsi, akilazimika kuwa mwangalifu zaidi kuhusu usalam...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Wantam! Gachagua ainua mkono, asema Sifuna tosha kupambana na Ruto 2027

ALIYEKUWA Naibu rais Rigathi Gachagua amefungua mlango wa muungano usiotarajiwa wa kisiasa kati ya Mlima Kenya na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna, akisema eneo hilo liko tayari kumu...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /3 weeks ago

Wantam! Sifuna aidhinishwa na Linda Mwananchi kupambana na Ruto 2027

HATUA ya Linda Mwananchi kumuidhinisha rasmi Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuwa mgombea wake wa urais, inaonekana kufunga mlango kwa azma ya Gavana wa Siaya James Orengo kuwania u...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Dai La Malumbano Ya Sifuna Na Babu

nairobiwire.com

Recent coverage from public sources
Public source

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source