DCI sasa wachukua usukani wa kesi ya ulaghai wa mishahara mashirika ya umma
IDARA ya Upelelezi wa Jinai (DCI) imechukua rasmi uchunguzi wa madai ya wizi wa takriban Sh6.2 bilioni kupitia mfumo wa mishahara ya watumishi wa umma, baada ya Wizara ya Utumishi...