Wanafunzi watozwa Sh600,000 kukaa hosteli, Kihongosi apiga marufuku
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amepiga marufuku michango iliyokuwa ikitozwa na baadhi ya shule za sekondari katika Manispaa ya...