Gavana Wanga achemsha maseneta kwa matumizi ya Sh500,000 kujenga choo
GAVANA wa Homa Bay Gladys Wanga alipofika mbele ya Kamati ya Seneti ya Hesabu za Umma wiki iliyopita kujibu hoja zilizotolewa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu matumizi...