Wavuvi wapewa chombo cha kuvutia samaki baharini kwa teknolojia ya kisasa
SEKTA ya uvuvi Pwani imepigwa jeki baada ya wavuvi kupokezwa vifaa vya teknolojia ya kisasa vitakavyowasaidia kuongeza pato lao la samaki baharini. Vifaa hivyo, ikiwemo vidubwasha...