Mjiandae kwa sababu Chelsea tunakuja kivingine msimu huu, asema Kocha Alonso
CHELSEA walikamilisha kampeni za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu uliopita katika nafasi ya 10 jedwalini baada ya kujizolea jumla ya alama 52. Kusuasua kwa kikosi hicho kulisukum...