Vurugu shuleni: Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa kukutana kuhusu fujo shuleni
VIONGOZI wakuu wa usalama nchini wanatarajiwa kukutana Jumatatu chini ya mwavuli wa Baraza la Ushauri wa Usalama wa Kitaifa (NSAC) kujadili wimbi la vurugu katika shule mbalimbali...