Latest updates for Chama Cha Mlima Kenya

Fresh curated links around Chama cha Mlima Kenya are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.

Recent items include:

  • Watatu Chaumma wajitokeza kumrithi Lukuvi Isimani
  • Kindiki apiga kambi Mlimani siasa za Mt Kenya East na West zikichacha
  • Kenani kuanza ziara Kaskazini, CCM Kilimanjaro yaeleza sababu ya kurejea baada ya miaka 25

Post angles to try

Share the most useful takeaway for your audience.
Turn one article into a quick practical checklist.
Ask your audience how this shift affects their work.
Turn angles into scheduled posts

Fresh articles and ideas

Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.

mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Watatu Chaumma wajitokeza kumrithi Lukuvi Isimani

Kikao hicho kinatarajiwa kufanyika katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho zilizopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Kindiki apiga kambi Mlimani siasa za Mt Kenya East na West zikichacha

NAIBU wa Rais Prof Kithure Kindiki amekita kambi eneo la Mlima Kenya baada kubainika kuwa ndani ya siku 58 pekee amefanya mikutano 15. Kuanzia Machi 1, 2026 hadi Aprili 27, 2026,...

Read source
mwananchi.co.tz /2 days ago

Kenani kuanza ziara Kaskazini, CCM Kilimanjaro yaeleza sababu ya kurejea baada ya miaka 25

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kimejipanga kuendelea kuhudumia wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo na kusikiliza kero zao.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Chadema kusaka mrithi wa Wenje Kanda ya Victoria

Ezekiel Wenje alihamia Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2025.

Read source
mwananchi.co.tz /1 month ago

Chadema yatoa salamu kwa waliohama

Mwenyekiti wa Chama cha Dermokrasia na maendeleo Kanda maalum ya Serengeti Lucas Ngoto akizungumza katika hafla ya kufungua rasmi shughuli za kichama baada ya zuio, iliyofanyika ka...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Sitakupigia magoti Mlima Kenya, Ruto aambia Gachagua

RAIS William Ruto amemjibu vikali aliyekuwa Naibu wake na kiongozi wa Democracy for the Citizens Party Rigathi Gachagua, akisema hatompigia magoti ili kupata kura za Mlima Kenya....

Read source
mwananchi.co.tz /1 week ago

Mnyukano mpya wa CCM, Chadema Mbeya, waitana jukwaani

Mbeya. Siku chache baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuzindua mikutano yake mkoani Mbeya huku kikieleza changamoto zinazowakabili wananchi, Chama cha Mapinduzi (...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Uhasama watokota tena kati ya DCP na Jubilee kuhusu Ol Kalou

UHASAMA wa kisiasa unazidi kutokota kati ya Jubilee na DCP baada ya vyama hivyo viwili kusema vitakuwa na mgombeaji kwenye uchaguzi mdogo wa Ol Kalou. Baada ya DCP kuandaa mchujo...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Dk Mwinyi avunja ukimya mazungumzo ya CCM, ACT kuhusu SUK

Soma zaidi hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Saa 48 za mshikemshike Chadema Arusha, Mbeya

Soma zaidi hapa...

Read source
mwananchi.co.tz /3 weeks ago

Upinzani waungana hoja ya Katiba mpya, maridhiano CCM yajibu

Soma zaidi hapa...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /2 weeks ago

Ruto, Gachagua, wang’ang’ania Nyoro 2027 ukikaribia

MBUNGE wa Kiharu Ndindi Nyoro amejikuta katikati ya mvutano mkali wa kisiasa Mlima Kenya, ambapo mirengo mikuu ya kisiasa inammezea mate kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Baad...

Read source
mwananchi.co.tz /2 weeks ago

Sugu ataja masharti maridhiano, alia na miundombinu ya barabara, maji Mbeya

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa, kimeeleza kusikitishwa na kusuasua kwa ujenzi wa miradi miwili ya kimkakati, huku kikitoa msimamo wake kuhusu mchakato w...

Read source
mwananchi.co.tz /4 weeks ago

Chadema yaja na Katiba mpya, free Tundu Lissu

Mnyika amesema operesheni itakayofanyika itakuwa na awamu mbili, ambapo ya kwanza itaanza wiki ya tatu ya Mei na itahusisha mikoa 11 katika kanda tatu za chama hicho.

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Gachagua, Matiang’i kung’ang’ania kiti cha eneobunge la Ol Kalou

SIASA za ngome ambazo zimekuwa zikizua utata ODM sasa zimehamia upinzani huku mirengo miwili ikilaumiana kuhusu uchaguzi mdogo wa Ol Kalou. Hata kabla ya Spika wa Bunge la Kitai...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Ukuruba na Uhuru na Gachagua utakavyokuwa pigo kwa Ruto Mlima Kenya

UKURUBA mpya wa kisiasa kati ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta na aliyekuwa naibu wa rais, Bw Rigathi Gachagua unaweza kubadilisha kabisa siasa za Mlima Kenya na kuathiri mipango ya R...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /5 days ago

Jamii ya Mulembe nao wasema watadai kiti cha Unaibu Rais kuelekea kura 2027

VIONGOZI kutoka Magharibi mwa Kenya sasa wanamtaka Rais William Ruto amchukue Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi au Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula kama mgombea-mwenza...

Read source
taifaleo.nation.co.ke /1 month ago

Azimio la Umoja kugeuka ‘Komboa Kenya Alliance’

MUUNGANO wa upinzani nchini umeanza kuchukua sura mpya baada ya kuibuka kwa pendekezo la kubadilisha jina la Azimio la Umoja kuwa “Komboa Kenya Alliance”. Hatua hii inalenga kuima...

Read source

Turn fresh research into a full content calendar

Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.

Sources covering Chama Cha Mlima Kenya

taifaleo.nation.co.ke

Recent coverage from public sources
Public source

mwananchi.co.tz

Recent coverage from public sources
Public source