Kambi afichua atazindua chama cha Pwani kujipa ushawishi kama DCP ya Gachagua Mlimani
UFICHUZI wa aliyekuwa Waziri wa Leba, Bw Kazungu Kambi, kwamba anapanga kuzindua chama kipya cha kisiasa, umeibua mwelekeo mpya wa kisiasa katika eneo la Pwani kuelekea kwa Uchaguz...