Amisi adai anaogelea gizani ODM baada ya kuondolewa kwenye kundi la WhatsApp
MBUNGE wa Saboti, Caleb Amisi amedai ametengwa ndani ya Chama cha ODM, akifichua kuwa aliondolewa kwenye kundi la WhatsApp la chama na sasa hapati taarifa kuhusu shughuli wala miku...