Chungwa aliloacha Raila lagawanyika mwaka mmoja baada ya kifo chake
Mwaka mmoja baada ya kifo cha Raila Odinga, Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kinamkumbuka huku kikikabiliwa na swali ambalo halijapata jibu la wazi hadi sasa. Swali hi...
Search fresh public links, source activity, and ready-to-use post angles for Chama Cha Orange Democratic Movement (Odm).
Fresh curated links around CHAMA cha Orange Democratic Movement (ODM) are collected here so marketers can spot useful updates and turn timely ideas into posts faster.
Recent items include:
Recent curated links from global sources. Generate one free draft from any story, then use SocialBu to schedule and refine your content calendar.
Mwaka mmoja baada ya kifo cha Raila Odinga, Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kinamkumbuka huku kikikabiliwa na swali ambalo halijapata jibu la wazi hadi sasa. Swali hi...
CHAMA cha ODM kinataka baadhi ya sera zake muhimu zijumuishwe katika manifesto ya uchaguzi ya Rais William Ruto ya 2027 kama sehemu ya makubaliano ya kabla ya kuunda muungano kati...
CHAMA cha Orange Democratic Movement (ODM) kesho kitazindua rasmi shughuli za mwezi mzima za kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha mwanzilishi wake, Raila Amolo Odinga, kupitia ha...
CHAMA cha ODM kinakabiliwa na kibarua kigumu katika kuamua mgombea wake wa ugavana Nairobi baada ya baadhi ya wabunge kujitokeza hadharani kumuunga mkono Mbunge wa Embakasi Mashari...
MWAKA mmoja baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, tofauti za kimya kimya zimeanza kujitokeza kati ya familia yake na chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kuhu...
MBUNGE wa Makadara, George Aladwa, amepata uungwaji mkono mkubwa katika azma yake ya kuwania ugavana wa Nairobi baada ya wajumbe na wenyekiti wa matawi ya ODM kumuunga mkono katika...
MBUNGE wa Makadara George Aladwa Ijumaa alisema ODM haina nia ya kuvuruga wala kuingilia mkutano wa Linda Mwananchi ambao utafanyika mnamo Jumapili katika uwanja wa Jacaranda, Nai...
VIONGOZI wa ODM ambao wamekuwa na msimamo vuguvugu katika kuunga mkono azma ya Rais William Ruto kuwania muhula wa pili wameanza kuhisi joto kutoka kwa wapigakura wa Nyanza, wanaow...
RAIS William Ruto jana alionekana kupunguza mvutano wa kisiasa kati ya ODM na UDA, akisema vyama hivyo ni washirika katika Serikali Jumuishi akiahidi kulinda urithi wa kisiasa wa m...
UBABE wa kudhibiti ODM umeanza kuchipuka huku viongozi wakitumia kutoonekana kwa kinara wa chama hicho Seneta Oburu Oginga katika shughuli za umma, kujijengea ushawishi ndani ya ch...
Former Embakasi West MP George Theuri has officially joined the Orange Democratic Movement (ODM) after leaving the Democracy for the Citizens Party (DCP). ODM said Theuri was recei...
KUKOSEKANA kwa Gavana wa Siaya James Orengo katika mikutano kadhaa muhimu ya viongozi wa upinzani katika siku za hivi majuzi kumezua mjadala mkubwa kuhusu hatua yake ya kisiasa kue...
MJADALA kuhusu mpango wa kugawana maeneo ya kisiasa unaendelea kuibua tofauti ndani ya ODM, huku Waziri wa Vyama vya Ushirika Wycliffe Oparanya akipinga pendekezo hilo na kuunga mk...
The development comes weeks after the two parties agreed to work together towards the 2027 elections under the Broad-based coalition and a framework to craft a shared manifesto and...
CHAMA cha ODM na familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, wako katika mzozo mkali kuhusu mipango ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo chake. Taifa litaadhimisha mwaka mmoja...
The Orange Democratic Movement (ODM) will mark the death of its founder and late former Prime Minister Raila Odinga throughout the month of October, one year after he passed away....
NAIBU Rais, Profesa Kithure Kindiki Ijumaa aliambia chama cha Orange Democratic Movement (ODM), kinachoongozwa na Seneta wa Siaya Oburu Oginga, kwamba hawezi kuondolewa kirahisi, n...
ZIARA ya siku tano ya Rais William Ruto Luo Nyanza wiki iliyopita iliacha makovu ya uhasama na mgawanyiko wa kisiasa kati ya baadhi ya viongozi wa eneo hilo hasa kampeni za uchaguz...
Suna East MP Junet Mohamed said the Orange Democratic Movement (ODM) is an equal partner alongside the United Democratic Alliance (UDA) in President William Ruto’s broad-based admi...
MZOZO wa miezi kadhaa kati ya ODM na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna umefikia kikomo baada ya Jopo la Kutatua Migogoro ya Vyama vya Kisiasa (PPDT) kutupilia mbali ombi lake la kutak...
GAVANA wa Kilifi, Bw Gideon Mung’aro, amezidi kuungwa mkono na viongozi wa Kenya Kwanza kutetea kiti hicho katika Uchaguzi wa 2027. Spika wa Seneti, Bw Amason Kingi, alisema wan...
Edwin Sifuna's Linda Mwananchi ODM faction had faced a lot of drama when it came to the aquisition of and retention of the party name.
KAMATI ya wataalamu walioteuliwa kuandaa mwongozo wa kisiasa na manifesto ya pamoja ya vyama vya UDA na ODM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027 imeanza kazi rasmi huku ikipanga kufanya...
Use SocialBu to discover ideas, generate post drafts, and schedule them across your social channels.