Azma ya Omar kuwania ugavana Mombasa yaleta mgawanyiko kati ya UDA na ODM Pwani
TANGAZO la Katibu Mkuu wa UDA, Hassan Omar kuwania ugavana Mombasa mwaka 2027 limezua mgawanyiko katika ushirikiano unaoibuka kati ya UDA na ODM, huku juhudi za kugawana maeneo ya...