Wakazi Turkana wahofia vikosi vinalinda maeneo ya mafuta badala ya usalama wao
WAKAZI wa vijiji vya Lopii, Nakukulas, Lokwamosing, Lokori na Kahuruko katika Bonde la South Lokichar, Kaunti ya Turkana, wanasema sasa wanaishi kwa hofu ya vikosi vya usalama lich...